Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu Morata Carlo ndio alisababisha akaondoka, dah! Kumpa dakika 10 za mwisho kila baada ya game 3 ni upuuzi
 
Pogba angeenda tu Barça, si tubebe Verratti. I don't like his attitude.

Huyu Pogba kwa Isco atasubiri sana. Aende huko huko Cataluña na kiduku chake. Eti Mino Raiola ndio anasema €100m huyu, labda hiyo hela tununue Juventus yote, wachezaji wengine tuwape Getafe.
 
Yaani hawa ndio walituzidi ball possession hawa? Yaani hizi fainali ilibidi tucheze sisi, hawa hawawezi Barca, waliokuwa wanamtetea Carlo ni wachawi wetu.

Nyinyi Barca muliwaweza lini? Mbona mara kibao mnakula kichapo tena na Christina wenu akiwepo. Mara chache chache munashinda, jambo ambalo ni la kawaida kwenye mpira. Ila kwa ukweli kabisa Madrid kwa miaka hii ya sasa hamuiwezi Barca zaidi ya kukamia tu. Enzi zile za Robert Carlos na wenzake, Madrid ilikuwa juu sana ya Barcelona!
 
wape ukweli wao wazee wa kujifariji
 
FC BARCELOOOOOOOONA NDIO MPANGO MZIMA visca el barca
 
Nyinyi Barca muliwaweza lini? Mbona mara kibao mnakula kichapo tena na Christina wenu akiwepo. Mara chache chache munashinda, jambo ambalo ni la kawaida kwenye mpira. Ila kwa ukweli kabisa Madrid kwa miaka hii ya sasa hamuiwezi Barca zaidi ya kukamia tu. Enzi zile za Robert Carlos na wenzake, Madrid ilikuwa juu sana ya Barcelona!

Mi siongei na watoto wa kike.
 
FC BARCELOOOOOOOONA NDIO MPANGO MZIMA visca el barca

My "Give a https://jamii.app/JFUserGuide" is broken", but my "Go https://jamii.app/JFUserGuide yourself " is fully functional.
 
Huyu Morata Carlo ndio alisababisha akaondoka, dah! Kumpa dakika 10 za mwisho kila baada ya game 3 ni upuuzi

Lawama kwa Carlo zimekuwa too much,ni ngumu sana kwa hii Real Madrid ya sasa mchezaji kutoka Madrid academy akaingia kwenye first team kirahisi.Ukiacha Casilas na Raul sidhani kama mchezaji aliyeweza hata huyo Carvajal,Casemiro walipelekwa kwa mkopo kukawa na option ya kuwarudisha.Sometimes hawa big players wanaleta negative impact kwa wachezaji toka academy
 
Back
Top Bottom