Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #1,261
Martin Ødegaard at Vincent Calderon, watching Atlético Madrid vs Real Madrid.
Angalia kwenye hii link: http://diresport.es/
Leo tena hadi sa hv sion njia mbadala yakupata goli,nia aibu...ndio tuna posses mpira ila hatuna mashambulizi ya nguvu na makini,hapa kati pengo la modric linaonekana kabisa...nafikir pia bale anatakiwa awe anaanzia benchi maana naona kawa faza nae...
madrid tangu mchapwe na millan imekuwa ishu,uefa sijui kama mtafanya poa