Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

​Haya kipute ndio kimeanza hapa, stay tuned watoto wa Ancelotti wanapiga mtu bao leo.
 
​Mlio mbali na TV zenu, dakika ni 76 Real Madrid 3 Barcelona 1
 
Goli la Pepe

<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Goli la Ronaldo

<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Goli la Benzema.

<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Commanding display! Tuko safi.

Tumewakung'uta mabao matatu safi leo kelele zote zimeisha. Walikuwa wanachonga sijui hatuna beki za kuwazuia wakina Suarez sijui Nymar na Messi. Wamepigiwa mpira mpaka hawaonani, wamebaki kumlaumu refa tu.
 
Nilichowapendea Madrid wakipata mpira hawawapi barca muda wa kujipanga
 
Real Madrid 3 Barcelona 1
All Goals Highlights

<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Mkuu salamander big up sana kwa kuchangamsha uzi wetu na nakusihi usife moyo endelea kutujuza tu.
 
Nilichowapendea Madrid wakipata mpira hawawapi barca muda wa kujipanga

&#8203;Zingekuwa bao nyingi leo, sema we acha tu, ndio tumechukua usukani wa ligi sasa hivi watatukoma. Mwaka wetu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…