Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #121
​Haya kipute ndio kimeanza hapa, stay tuned watoto wa Ancelotti wanapiga mtu bao leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​Mlio mbali na TV zenu, dakika ni 76 Real Madrid 3 Barcelona 1
Commanding display! Tuko safi.
Tumewakung'uta mabao matatu safi leo kelele zote zimeisha. Walikuwa wanachonga sijui hatuna beki za kuwazuia wakina Suarez sijui Nymar na Messi. Wamepigiwa mpira mpaka hawaonani, wamebaki kumlaumu refa tu.
Mkuu salamander big up sana kwa kuchangamsha uzi wetu na nakusihi usife moyo endelea kutujuza tu.
Nilichowapendea Madrid wakipata mpira hawawapi barca muda wa kujipanga
​Zingekuwa bao nyingi leo, sema we acha tu, ndio tumechukua usukani wa ligi sasa hivi watatukoma. Mwaka wetu huu.
​Zingekuwa bao nyingi leo, sema we acha tu, ndio tumechukua usukani wa ligi sasa hivi watatukoma. Mwaka wetu huu.
Bado hatujawapita barca.wametuzidi point moja