Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #1,581
Niko jukwaa kuu hapa...leo nategemea counter attack na jicho la mwewe kama tulivyowapiga bayern msimu jana ili kupindua matokeo leo...hala madrid...
Ndio hivyo Tall, beki zetu zilishangaa jamaa wakatumia nafasi bila kufanya ajizi. Na pale mbele kina Benzema sijui ndio wanafanya nini. Bora sasa hivi waweke nguvu zote kwenye Champion League maana la liga nayo ni kama mbio za riadha tukipoteza mechi moja jamaa wanachukua usukani.