Nikibaliane na ww mkuu,jana eneo la beki za kati ndio walikuwa hovyo sana....bado nina ugomvi na bale,hajachangamka kabisa kama msimu jana,unaweza sema anabahatisha msimu huu,benzema kama kawaida kaendelea kukosa umakini...yule james nafikir modric akirudi kwenye big game awe bench maana isco ana perfom vizur sana,kwa hiyo pawe na isco+modric+kroos..nafikir ni wakat sasa pia wa varane kuanza kwa maana ya pepe au ramos awe mmoja anampisha dogo,maana naona combination ya pepe na ramos haipo makin kama mmoja wao asipokuwepo....