Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata kama leo ni win tuuu, afu jmosi tunamalizia kabisa ili tubakize point moja kukaa pale juu
 
Ramos ana tatizo gani mkuu?

Sergio Ramos alikuwa na Calf injury ndio maana hata mechi ya timu yao ya taifa hakuwepo kabisa. Sasa hivi wanasema inawezekana yupo fit, lakini wameshindwa kwenda nae Uingereza kwa ajiri ya mechi ya leo, kwasababu wanamwacha awe fit 100% kwenye mechi na Barcelona.
 
Huu uzi umefufuka? Maana ni doro, hauna tofauti na ule uzi wetu wa NBA-Finals
Mpira dk.90 anything can happen, lakini sioni kwa namna gani kuku wa Anfield ataepuka kugeuzwa supu leo
 
Liverpool droo kwao ushindi, lakini hata hiyo nafasi waipati leo.
 
Nawambia hivi leo sisi pale twaenda maliza kazi pamoja na safari kutoka Spain
 
It means a throne in Anfield.

10426523_823851574334395_2256432074142742887_n.jpg
 
​Naona vijana wako uwanjani sasa wanapasha ule musuli moto. Haya sasa tuone.
 
Huu uzi umefufuka? Maana ni doro, hauna tofauti na ule uzi wetu wa NBA-Finals
Mpira dk.90 anything can happen, lakini sioni kwa namna gani kuku wa Anfield ataepuka kugeuzwa supu leo

Te te et kuku wa anfield nmecheka kweliii
 
​Benzema anaweka goli la pili wakuu.
 
Back
Top Bottom