Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #1,901
Mtazamo wangu game ya leo hawa cordoba wametuzidi mbinu,kwa maana yakushambulia nakuharibu mipango yetu..maeneo yetu tunayotumia kuanzisha mashambulizi,beki za left and right hazikuwa katika kiwango chake,zilikuwa kama vile zimepanic sana leo...mjomba ronaldo nae leo poor perfomance,nafikiri alikuwa na msongo binafsi wa mawazo na pia kuzomewa kila akigusa mpira kumeongezea kumtoa nje ya mchezo..naamini ataomba radhi washabiki na wadau wa madrid kwa kadi ile nyekundu...leo naweza sema tumeokota embe dodo chini ya mnazi,kukosekana kwa kiungo mwenye kujua kupunguza kama isco au modric pale kati kulifanya tusifanye vyema...thanks we got three important point....hala madrid...
Zile point tatu tumezipata kwa bahati sana, jamaa walicheza mpira wa kiwango cha juu kabisa. Ronaldo mara nyingi asipocheza vizuri au akizomewa huwa anapanick lakini ule aliofanya ni upuuzi sana, anaua nguvu kwenye kikosi dakika kama zile wakati timu inahitaji point 3 muhimu.