Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #3,321
Karim Benzema (41) needs 4 more UCL Goals to get in Top 10 Goalscorer of Champions League All Time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamez Rodriguez vipi, kazifikia Expectations zako????
Salamander vipi tena Mr. Cr7 anakutwa magoal kizembe zembe na MESSIAH????
Ni bado young player although there are many challenges to come and long way to go, but also the expectations are very high. Katika msim huu tu, James ana assists 8 na magoli 12 ambayo yanaonyesha jinsi gani alivyo attacking midfielder, kwa lugha nyingine yule dogo mimi binafsi huwa namfananisha na Kaka. Si unaona tangu ameumia jinsi gani tunafanya vibaya.
Hamez naona kapewa limited role uwanjani!!
Hayuko Free sana Aisee, ndo maana bado hajakaa vizuri ile saaaaana!!!
Kwenye team zetu hizi za EPL (LFC, Arsenal, Manchester utd) jamaa angekuwa LULU saaana!!!!
The same problem kwa Bale, kwa formation ya Ancelotti anatakiwa awe provider kitu ambacho kinamuathiri sana awapo uwanjani kwasababu ya mchezo wake ni wa kukimbiza. Manager angekubali mfumo wa 4 - 4 - 2, ndio wachezaji kama James au Bale wangecheza kwa kukaa na mipira na kufunga magoli.