Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #3,661
Former Barcelona Player Charles Rexach: "There is no Real Madrid side more dangerous than a wounded one" ‪#‎HalaMadrid‬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ndugu, niko pamoja kuisubiri burudaniHilo hatulikatai, ni kama messi alivyo ndio Barcelona kwa sasa. Ukimkamata messi umeikamata Barcelona. uzuri mmoja Anceloti analitambua hilo kupitia kauli hii.
"Messi is in really good form, as are Barcelona as a whole. On a tactical level, they've changed the positions of Neymar and Messi, which are freer in comparison with our meeting in the first half of the season, but they have the same quality and characteristics"
So i hope he will already have figured out how to deal with it. Tukutane kesho, I am 95% confident real madrid are going to win this match.
modric ndio real kwa sasa, ukimzuia ndio hakuna real uwanjani
Modric atapenya tu pale, huwa hatumiagi nguvu. Na wakitoa wachezaji wawili kumzuia Modric, na wawili kumzuia Ronaldo watabakiza wachezaji sita. Leo ni kipigo tu na Barcelona yenu.
Sipatii picha James rodrigues angekuwepo. Yaani ingekuwa full burudani, Ila isco yupo hope atafanya kazi vyema. Huku Lucas silva, akisubiria kuingia sub dakika ya 70 kumpa experience ya kwanza elclassico na kustablize midfield.
kwi kwi kwi mudric atachoka mwenyewe kwa pasi za kina iniesta, na siku hizi basi fomation ya barca ilivo mbaya, mpira utachezwa kulia halafu anapigiwa neymar yuko peke yake anamtafutia beki wa real kadi buree, maana beki wa real hawana maarifa, leo magoli tu. messi juuuuuuuuuuuuModric atapenya tu pale, huwa hatumiagi nguvu. Na wakitoa wachezaji wawili kumzuia Modric, na wawili kumzuia Ronaldo watabakiza wachezaji sita. Leo ni kipigo tu na Barcelona yenu.
kwi kwi kwi mudric atachoka mwenyewe kwa pasi za kina iniesta, na siku hizi basi fomation ya barca ilivo mbaya, mpira utachezwa kulia halafu anapigiwa neymar yuko peke yake anamtafutia beki wa real kadi buree, maana beki wa real hawana maarifa, leo magoli tu. messi juuuuuuuuuuuu
kwi kwi kwi mudric atachoka mwenyewe kwa pasi za kina iniesta, na siku hizi basi fomation ya barca ilivo mbaya, mpira utachezwa kulia halafu anapigiwa neymar yuko peke yake anamtafutia beki wa real kadi buree, maana beki wa real hawana maarifa, leo magoli tu. messi juuuuuuuuuuuu