Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #4,101
James:" The Bernabeu chanting my name is a dream come true."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia tumepoteza nafasi nyingi sana bro, esp Cristiano. Hii ya kutotumia nafasi ndio ilitu-cost vs barca. Ni kwamba Granada walishindwa kutuzuia, we coulda doubled the score.Sometimes beki inategemea inacheza na timu yenye kiwango gani, ndio maana utaona Marcelo alikuwa anacheza 100% kama winga kwasababu jamaa walikuwa hawana madhara kabisa. Kama ingekuwa timu nyingine, ndio tusingeshinda goli tisa, lakini angalau midfilders na forwards zilikuwa zinatumia gapes vizuri na kulikuwa mashuti golini tofauti na mechi zilizopita.
Pia tumepoteza nafasi nyingi sana bro, esp Cristiano. Hii ya kutotumia nafasi ndio ilitu-cost vs barca. Ni kwamba Granada walishindwa kutuzuia, we coulda doubled the score.
Lets hope so, nimejifunza Carlo huwa hajifunzi chochote, ni Kazi kwao wachezajiAnyway, wiki hii tuna game nyingine mbili against Rayo na Èibar, nafikiri hizo zitakuwa ni mazoezi ya kutosha na kuona makosa yako wapi kabla ya mechi ya UCL Vicente Calderon.
Most goals for Real Madrid in official games.
1) Raul (323 goals)
2) Alfredo Di Stefano (308)
3) Cristiano Ronaldo (300)
Haaaah atafikia record zote na kuweka zakeee
Magoli 24 ili avunje rekodi, akiwa amebakiza mechi tisa za la liga na Champion League, labda next season.