pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Hala madrid..ushindi lazima na vipigo vinaendelea....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hala madrid..ushindi lazima na vipigo vinaendelea....
Sasa hivi hakuna wa kutusimamisha, sio Sevilla wala Valencia, wakatalani wakijikanyaga mechi moja tu tumechukua ubingwa. Na sasa hivi wanapanic kinoma, nafasi waliokuwa nayo ni presha tupu.
Sevilla na Valencia wale jamaa nuksi tuSasa hivi hakuna wa kutusimamisha, sio Sevilla wala Valencia, wakatalani wakijikanyaga mechi moja tu tumechukua ubingwa. Na sasa hivi wanapanic kinoma, nafasi waliokuwa nayo ni presha tupu.
Sevilla na Valencia wale jamaa nuksi tu
Valencia tulilazimisha draw 2nd leg last season. Walitusumbua hatari.Hawatusumbuagi kwenye mechi kama hizi za win or die. Nakumbuka Sevilla once tulichukua ubingwa nyumbani kwao kwenye mechi ya mwisho, ilikuwa 2007 kama sikosei. Historia lazima ijirudie, kitu ninachokiona sasa hivi ni kwamba wakatalani wamebakiza mechi simple zote, labda wapanic tu.
Valencia tulilazimisha draw 2nd leg last season. Walitusumbua hatari.
Cules can drop points anytime, sidhani kama wanaweza kushinda games zote
Carry on dreaming-yaani wewe bado unazungumzia ku win la liga- the mark of a true champion ni kushinda mechi na sio kusubiri slip ups- Msimu ujao mtapata taabu sana Suarez atakuwa amesha settle na atacheza the Barca waySasa hivi hakuna wa kutusimamisha, sio Sevilla wala Valencia, wakatalani wakijikanyaga mechi moja tu tumechukua ubingwa. Na sasa hivi wanapanic kinoma, nafasi waliokuwa nayo ni presha tupu.
Carry on dreaming-yaani wewe bado unazungumzia ku win la liga- the mark of a true champion ni kushinda mechi na sio kusubiri slip ups- Msimu ujao mtapata taabu sana Suarez atakuwa amesha settle na atacheza the Barca way
Msimu huu umekwisha Barca ni bingwa ndio maana wote waliobet Barca kuchukua ubingwa bookies wameshatulipa baada ya kutazama run in ya Barca. Suarez hajaanza kucheza vizuri kwa standard ya Barca,he is using too much energy anyway else Suarez ni nyota. By msimu ujao atakuwa na ile telephatic communication na Messi/Neymar hapo sasa itakuwa taabu kubwaHatuwezi kuongea msimu ujao wakati we're still playing, au umeshakata tamaa? Nakushauri uache kuongea about players and fans of Real Madrid subiri ngoma yako ucheze next week, au unaanza visingizio kwamba Suarez bado hajaanza kucheza your way?
At Madrid, wachezaji kamwe hawajitangazi kuwa fit ama la, hiyo ni kazí ya wataalam pamoja na mwalimu.Bale katangaza mechi ya Juve atakuwa fit. Die hard fans wa Madrid wanaomba aendelee kuwa mgonjwa,hawamtaki world most expensive player
wewe unaishi dunia gani?? Bale amestuka he is being used as a scapegoat and being frozen out of the team-the reality is Madrid are forcing him out-yeye he is ready to fight for his place- wapenzi wanamwita WHITE ELEPHANTAt Madrid, wachezaji kamwe hawajitangazi kuwa fit ama la, hiyo ni kazí ya wataalam pamoja na mwalimu.
Again, habari za vijiweni you tell them to your fellow cules, here we don't buy nor do we sell bs. Comprende?wewe unaishi dunia gani?? Bale amestuka he is being used as a scapegoat and being frozen out of the team-the reality is Madrid are forcing him out-yeye he is ready to fight for his place- wapenzi wanamwita WHITE ELEPHANT