Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sometimes naombea tukose vikombe vyote ili Ancelotti apite zake hivi.
 
Madrid mfungaj cr tu.. Barca wafungaj wengi..

Source... Top scorers' standing... Poor madrid
 
Kuna watu walipoteza advantage ya goli 2 hapa, saivi wanaombea low key tu-drop points pia. Ain't gon' happen.
 
On to the next one. Juve will be just another walk in the park. Tukivuka Valencia, then La Liga yetu, mark my words.
 
Madrid mfungaj cr tu.. Barca wafungaj wengi..

Source... Top scorers' standing... Poor madrid

Wafungaji wengi walishindwa kuchukua point tatu pale, hizi habari ukiwapelekea kule kwenye special thread yenu watafurahi.
 
After losing Clasico, we have won 7 out of 7 league matches.
 
Kuna watu walipoteza advantage ya goli 2 hapa, saivi wanaombea low key tu-drop points pia. Ain't gon' happen.

We did something that even Los putos catalanes and Atletico haven't done in this season. BEATING SEVILLA AT THEIR HOME
 
Sevilla 13 months unbeaten *_*But now the streak is gone!Well Done Real! <3

CEBroRFWEAEpDcE.jpg
 
After losing Clasico, we have won 7 out of 7 league matches.
'After we got robbed in El Clasico' would be more appropriate, but it don't matter now. We win all our remaining games and it's the 33rd in the white house, str8-up.
 
inter milan alishinda pia,bayern nae akaja kushinda treble,La Decima wameshinda wangapi??

Achana nae huyu mr.10 minutes to Camp Nou hajui datas zozote, angejua Los blancos wamechukua la liga mara ngapi angenyamaza tu
 
Back
Top Bottom