Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Binafsi sijaridhishwa na kiwango cha leo haswa beki...magoli yote niya kizembe,penalt yakizembe kabisa iliyotokana na poor marking ya beki wa mwisho hakuwepo eneo lake hadi kusababisha counter yao kupata penalt...tumekoswa magoli ya wazi kabisa yamkini wangekuwa makini foward zao leo tungekula si chini ya goli nne...mbele kule tumekosa mbinu yakupenya matokeo yake tunatumia winger kupiga cross wakat wale jamaa ni warefu,bale alikuwa mzigo katika timu mbele kule...kwa mchezo huu naona tunashinda ila uwezo wakuwazuia nao wasifunge kama carlo hatachangamsha kikosi sion jinsi tutavyowazuia..next game bale aanze benchi,na marcelo...
 
Ndio Carlo ajifunze, kama anapanga timu kwa kubahatisha akiona vile awe anabadilisha mapema. Lakini hakuna noma 1 away goal + wanakuja Santiago Bernabéu.
 
kwi kwi kwi siamini kama wanakua wapole kama hivi hawa jamaa

We're always calm. Let Juve enjoy their moment. Ushindi wa leo ni muhimu sana kwao kwa vile wamecheza nyumbani, lakini tunategemea soka safi ya kufurahisha katika 2nd-leg.
 
juve wananikumbusha chelsea 2012...mza mza kama hivi mwisho wa siku wanachukua kombe...
 
Juventus watakukazia nyumbani kwako hutaamini

Anything is possible kwenye football. Kwanza nawapongeza kwa kiwango walichoonyesha leo na najua watajidhatiti kwenye 2ng-leg. Lakini Real Madrid can't give it up so easy, lazima mpira uchezwe. Kama Real wangeshinda game ya leo kwa mfano 2-1 kama wao, Juve wangeweza kufanya maajabu Bernabéu, lakini kwavile tuko nyuma kwa bao 1, lazima patachimbika.
 
Juventus has NEVER been knocked out of European competition after a 2-1 1st leg at home (4 of 4).Time to change some history in Bernabeu.
 
If only........

11205125_997871350237625_4733469929090323443_n.jpg
 
Ndio Carlo ajifunze, kama anapanga timu kwa kubahatisha akiona vile awe anabadilisha mapema. Lakini hakuna noma 1 away goal + wanakuja Santiago Bernabéu.[/QUOTE ] DUUH, sasa unamfundisha kocha Carlo kazi-
 
Roy Keane: "It was very difficult for Real Madrid tonight playing with 10 men. Gareth Bale gave them absolutely nothing."

Paul Scholes:
"I'd say 9 men with Sergio Ramos as well. There was a real lack of quality with him in midfield tonight."
 
1. Hongereni kwa mpira wa possesion mzuri mliocheza, hii mmeonesha kuwa mmetoka Spain na sio England au Italy.
2. Kama mipira ya Cross ilikataa mlishindwa kutafuta mbinu nyingine ya ushindi, mmepiga Cross nyingi na 90% zote zimetuoa kichwani mwao.
3. Rudisha Bale EPL.
4. Kuwa makini sehemu ya kiungo, Pogba atakuwepo Bernabeu.
 
Good thing is that no one is suspended for the second leg and Benzema will be available.
 
Brother carlo please anzisha striker mmoja game ijayo chicha ameleta some impacts and please hawa watu wasicheze pamoja uwanjan james,isco na bale
Pia varane na pepe, weka solid defence the 4-4-2 bado hatujaiweza please 4-4-3 italeta impact, juve bila penalty ile ya kipuuzi sio lolote bali nyuma hakuna kiongozi marcelo,carvajal,pepe na varane hakuna wa kumuongoza mwenzie , please brother carlo
 
1. Hongereni kwa mpira wa possesion mzuri mliocheza, hii mmeonesha kuwa mmetoka Spain na sio England au Italy.
2. Kama mipira ya Cross ilikataa mlishindwa kutafuta mbinu nyingine ya ushindi, mmepiga Cross nyingi na 90% zote zimetuoa kichwani mwao.
3. Rudisha Bale EPL.
4. Kuwa makini sehemu ya kiungo, Pogba atakuwepo Bernabeu.

Juve wanapenda possesion pia, beki zao zilijipanga vema lakini kikubwa kilichotunyima ushindi leo Ramos kacheza kiungo kama Khedira leo, errors nyingi mno, na Bale hakutusaidia lolote kwa Cristiano alikuwa alone pale mbele.
Kuhusu Bale kurudi England usiwe na wasiwasi, yule atapanda ndege moja na Ancelotti. Adios, nakwenda kulala!
 
Najua tuna chanc kubwa iwapo atabadili mfumo hope 2nd leg tutacrete chances nyingi
 
Back
Top Bottom