Bale siyo mzigo Madrid, jamaa amepewa Limited role uwanjani, kama unajua mpira na umeanza kumfatilia bale tangu yupo spurs, utagundua kuwa bale hachez kama alivyozoea, kwa mfano game Vs Juve alikuwa anatokea pembeni tu, alikuwa anashindwa kuingia mwenyewe katikati au kudrive mwenyewe mpaka kwenye eneo la hatari, coz kucheza zaid pembeni ili kumruhusu James aoperate pande zote mbili za pembeni na katikati, na kuzid kumsukuma bale chini kabisa upande wa kulia, hasa katika second half, carlo ni manager ambaye huwa anakariri sana Formations.
Sticks mnazompa Bale sometimes ni za kufata mkumbo tu, na siyo za kisoccer, hata Reus akija ishu zitakuwa ni zile zile as long as James na Isco wapo na Carlo atabakia kuwa manager wa madrid, Bale wa last season, ni tofauti na bale wa this season, na kuna sababu, coz carlo ameswitch formation katika attacking field, ili kumuaccomodate james (which is good) na Isco sometimes, na kikitokea hiki kitu lazma mchezaji mmoja apotee au ajikute katika limited role, na the bad thing is Carlo kishakariri huo mfumo, dhidi ya Juve alishindwa kabisa kutafuta plan B, but at the end of the day scapegoat akawa Bale, wakat the main problem ilikuwa ni kumchezesha Ramos kama CDM, na kama atarudia tena hivyo nyumbani, TIE itakuwa ngumu sana kwake..