Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Mazungumzo na Ramos yamesitishwa mpaka msimu uishe. Lazima alilie mkwanja mrefu, demu aliezaa naye ni gold digger anaitwa Pilar Rubio. Alikuwa reporter wa La Sexta TV kipindi flani, masuper star wa Holliwood wakija Spain alikuwa anawashobokea mbovu. Kawabadilisha wanamuziki na matajiri wote mpaka kaangukia kwa kaka. Kwahiyo Real Madrid lazima walipe hiyo faboulous life.
Itabidi ajibebe, alimtambulisha rasmi kwenye harusi ya Rene, na ndio kampa Sergio Jr so nadhani yuko serious nae. I wish waende City huko, but haitatokea anytime soon.