Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tommorow everything will be white in the Bernabéu! And the supporters are nº 12 player!

#
QuedadaBlanca
#JuntosAPorLaUndecima

CE0P7A-XIAAYGaU.jpg
 
hawakawiagi kugeuka na kuanza whistles, hasa mataahira Ultras, wale wangepigwa ban tu wasikanyage uwanjani kamwe.

Kuna makundi yamejitolea kuja kumsapoti Iker kwa vyovyote itakavyokuwa, wameandaa banners kabisa za kumpa sifa zake el santo, utaziona kesho.
 
Kuna makundi yamejitolea kuja kumsapoti Iker kwa vyovyote itakavyokuwa, wameandaa banners kabisa za kumpa sifa zake el santo, utaziona kesho.

Yaani Mourinho sitakaa nimsamehe, yule jamaa ndio kamsababishia Iker yote haya. Jamaa angekuja kuondoka kwa amani tu, sio kwa kulazimishwa na wahuni.
 
Yaani Mourinho sitakaa nimsamehe, yule jamaa ndio kamsababishia Iker yote haya. Jamaa angekuja kuondoka kwa amani tu, sio kwa kulazimishwa na wahuni.

Achana na yule jamaa, mi nina wasiwasi na akili zake kama ziko sawa maana anakuwaga na caracter za ajabu uwezi kuamini, siku moja pale Valdebebás kwenye press conference eti aliamua ku reamain silent. Watu wote walichoka, ilikuwa kabla ya el classico kwahiyo reporters walikuja kutoka nchi tofauti yeye ndio akafanya kituko cha mwaka. Arturo Karanka ndio akaokoa jahazi, akajibu maswali mawili matatu, yule ng'ombe tu.
 
hahaha mi alivyom-poke Tito ndio nilichoka, na full visingizio. Mara potato field, mara busy schedule, mara he can't hunt with a Cat, mara Uefa na Unicef, mara refs, ¿por que?
 
Hilo goli la 2 alilofungwa Neuer, ingekuwa Iker kila mtu angechonga

Bayern wametepeta, lakini ndio vizuri tuende Berlin tukamalize hiki kiburi tupumzike tuwe na amani mwaka mzima. Ni sawa na last season, yule mbwa Simeone na kelele kibaao baada ya kuchukua Copa del Rey lakini baada ya kurudi Portugal tukapumua.
 
hawa wanatuhitaji sisi tu, na sisi tu ndio tunawaweza. Fingers crossed tupite kesho, iwe Clasico.
 
Hawa Bayern si tuliwazima wakiwa full mziki hapo kwao last season, 4 - 0. Mpaka leo Pep anapata nightmares. Kwenye hii tie wote tunajua wasingekuwa na majeruhi ingekuwa habari nyingine.
 
Nimeshachangia katika uzi wa mechi ya leo kabla haijachezwa...na ndo kinaendelea kutokea,binafsi nlikuwa naihofia atletico kuliko timu yoyote ile zilizobaki,kucheza na bayern ni sawa nakumuonyesha wekundu malaya anayejiuza,huwa hakatai...guardiola toka miaka yote huwa nasema siyo kocha bora,hutembelea nyota za wenzake,kocha gan huna plan B...game yetu ya kesho itakuwa ni miujiza pekee ambayo itatutoa,yaan siona kitisho chochote,huyo pogba watu wanayempigia chapuo mbona wakawaida sana,labda uniambie pirlo ila siyo pogba...kesho mtaniambia hapa naziona kabisa goli tatu pale jamaa tunawatandika,na tukiwapa kimoja cha fasta watafungua ukuta wao mrefu hapo ndo balaa lile walilokula bayern msimu jana linawapata...kwenye fainali kama tunanawa vile,tena uwanja wa berlin kule hakuna mbinu chafu zakuuziana ticket chache,tunaweka historia saaafi kabisaa,afu tunaunda sasa kikosi cha vijana wadogo kwa ajili ya miaka ya mbele,...sion wakutuzuia kuchukua ndoo ni miujiza pekee itatokea labda...
 
Real Madrid meet up ahead of the Juventus game

The players set off from the Santiago Bernabéu and headed towards Ciudad Real Madrid.

Real Madrid have met up ahead of the game against Juventus, which will take place in the Santiago Bernabéu (Wednesday, 8:45pm CEST). The players departed from the stadium and headed to the Ciudad Real Madrid residency. They will rest there until the hours leading up to their second leg Champions League semi-final clash.

‪#‎JuntosAPorLaUndecima‬

11231756_10150842401189953_8054222916582545805_n.jpg

11242784_10150842401169953_5322424959088902622_n.jpg

11036898_10150842401194953_6046456957374604354_n.jpg

11091014_10150842401319953_6605947936452623708_o.jpg

Real Madrid will qualify too tomorrow and it's an EL-CLASICO in Ucl Final. *___*
 
Wachezaji wa barca leo watalala na viatu, full kubahatisha na magoli yao ya offside ndo maisha yao siku zote, tukutane berlin wajinga nyie

Hala madrid
 
Back
Top Bottom