Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tatizo Madrid mmejaza wanariadha...Bale, Ronaldo wote mbio kibao mpira mdogo
 
Nikifanya majumuisho ya mecho iliyopita na hii naona tumestahili kutoka,mechi zote zimeonyesha weaknes yetu katika kila nyanja...kiungo ni ugonjwa mkubwa sana ambao tulichelewa kuutibu,pale mbele ni swala la saikolojia kwa wale foward...Hongera juve,hongera barca...nawapa karata yangu barca kubeba ubingwa huu kwa sababu ya umakini wa foward zao...

Mkuu sio kati tu hata pale mbele tungepata magoli mengi kama Benzema mgonjwa angekaa bench.
Angalau Chicha kaingia ila kagusa gusa mpira ya hatari.

Iker aondoke pia kaisha kabisa.
Benzema nafasi apewe Chicha
Bale nae hataweza fanya vizuri sababu mashabiki wanamzomea hivyo nae aondoke tu kwani atapata tabu.

Ramos nae ni butu sana

Marcelo anajitahidi sana kwa crossing
 
Wapenzi wa Ronaldo tunashukuru kwa kushiriki UEFA na La liga. Tukutane msimu ujao

Sishabikii mchezaji kama wewe,wachazeji wakubwa walipita madrid ila mimi bado niko madrid....usiropoke kabla hujamfuatilia mtu
 
Juventus were better over the two legs, for all their might, all their star quality, Real Madrid, Galacticos you were not
 
Wapenzi wa Ronaldo tunashukuru kwa kushiriki UEFA na La liga. Tukutane msimu ujao

If you talk as a sportsman, sisi sio wapenzi wa Ronaldo. We Real Madrid supporters. Tunamsapoti Ronaldo na full squad. Kuhusu kufungwa usikonde, there's always one winner kwahiyo mwaka huu sio sisi.
 
Kuna watu wanawashwa mpaka kujileta huku,,,WE RM FANS NO MATTER WHAT HAPPENED, HAPPENING OR WILL HAPPEN,,,, I SHALL SUPPORT RMADRID ,,,,,,HALLA MADRID
 
poleni mahasimu final kuweni nasi au ndio mta isapoti huyu alie kutoweni kama kawaida anti barcaa hhahaahhhaa:teeth:
 
Pole RM. Poleni kwa kushiriki msimu huu. Laliga ndio bado mnaendelea kushiriki. Copa delarey na UCL tunawashukuru kwaushiriki wenu.
 
mchezo wa leo hauna differnce kubwa na fainal ya last year dhidi ya atletico though wao walipaki basi sana;: ila nahisi mtu kama Di maria angekuwepo afanye yale yaliyotokea last year alivokuwa anaingia kati kati ya msitu wa mabek;.. wamepoteza nafasi nyingi sana af walkuwa kama wana hali ya kuridhika fulan hiv na lile goli moja
 
Nimeumia sana kwa moyo kutolewa na Juve..timu ambayo ina wachezaji wengi wenye umri mkubwa kulinganisha na RM. Ila wamestahili kuingia fainali kwa uzembe wetu.Kroos na James hawakuwa vema kwenye kudrive timu, tulikosa umakini pia kwenye umaliziaji wa kufunga kwani nafasi zimepatikana za kutosha. Beki nazo zinakaba kwa macho mno kwani hata goli tulilofungwa jamaa hakubughudhiwa kabisa. kwa ufupi all squad (marcelo exceptional)has got no more even a little bit 'f spirit to win this game. Mwishp nafuu nimetolewa hapa na maburuda kuliko Rivals wangu wangenifunga.
 
This was Ancelotti's last game on the sidelines this season as he is suspended for the last 2 La Liga games.
 
Manchester United , I'll say it now, thanks for De Gea. He'll be much help.
 
Back
Top Bottom