Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Emotionally ni very sad kumuona Iker anaondoka, nafikiri siku hiyo Bernabéu kuna watu watamwaga machozi.
Mwenyewe itaniuma sana, jamaa kwenye hiyo squad ndio pekee niloyemkuta wakati naanza kuangalia soka. But i'd rather see him leave than stand him being insulted by ungrateful mofos.
 

CFMdUgnWAAAQQWp.jpg
 
Hawa commentators bata sana, wanasema last game lawama kwa Bale zilikuwa over the top, kwamba wapo walioharibu zaidi. Smh
 
It's painful to watch this, even more painful is the fact i can't stop. Vamos puta madres!!
 
Back
Top Bottom