Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

BREAKING : Benitez bids farewell to Napoli staff.

11350481_1009964279028332_6337507946505301371_n.jpg
 
Sky Sports Germany | Klopp is going to replace new RM manager Rafa Benitez at Napoli next season.
 
ha ha ha ha ha ha umesahau kuwa mtani wewe ukipata matatzo sie ndio sherehe yetu ya ushindi vivyo hivyo na kwetu pia tukipata matatzo kwako sherehe ya ushindi

Si tukipata ushindi huwa tunafurahi na tunapanga kinachofuata, nyie mnatutafuta sisi ili mringishie.
 
ABC | Reus is a more likely to join RMA with his low price tag compared to Pogba.
 
Benitez ni kocha mzuri lkn hiki kitendo cha kubadilisha makocha bila mpangilio cio kizur coz inawabid wachezaji wajifunze mbinu tofauti tofaut kila kocha mpya okuja inawafanya kutokuzoea mbinu moja
 
Benitez ni kocha mzuri lkn hiki kitendo cha kubadilisha makocha bila mpangilio cio kizur coz inawabid wachezaji wajifunze mbinu tofauti tofaut kila kocha mpya okuja inawafanya kutokuzoea mbinu moja

Ndio maana wakaitwa professional football players, kama kubadilishiwa kocha baada ya misimu miwili huwezi kucheza mpira hufai kulipwa pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom