Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Naangalia mazoezi ya dortmund hapa kwakweli mkipata hata on target nahama nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naangalia mazoezi ya dortmund hapa kwakweli mkipata hata on target nahama nchi
Hakuna aliyekimbia uzi ila wewe unakiherehere na shughuli haikuhusu.Fainali bado siku sita lakini mmekimbia uzi
Kuna uwezekano mkubwa kikosi cha leo ndio kikaanza fainali UCLNaona leo carlo kaanzisha kikosi cha final ya UEFA
Ingawa hawafurahishwi na mafanikio yetu lakini wanafahamu kuwa Real Madrid ni timu bora.Msimu umemalizika kwa upande wa Ligi, sasa tunaelekea kwenye Fainali ya UCL.,ni matumaini yangu tutamaliza msimu kwa kishindo kikubwa
uyo mchezaji angeenda madrid angeishia tu kubeba viatu vya kina vin junior ni bora aligoma akabaki kuendelea kucheza ligi ya MbuziIkumbukwe mwaka 2019 Harvey Elliott alikataa kwenda Madrid na kusalia Liverpool
Amefanya kazi nzuri, nilikuwa natamani awe kinara wa mabao pia ila bahati haikuwa upande wake.Bellingham scoops LaLiga Player of the Year Award
![]()
Yeah, alijitahidi na mchango wake umeonekana.Amefanya kazi nzuri, nilikuwa natamani awe kinara wa mabao pia ila bahati haikuwa upande wake.