Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Shida inakuja pale madrid akikutana na wapinzani pale laliga wanakamia sana safu ya ushambuliaji wa madrid na pia hawafunguki sana.Wacheki wote tulocheza nao wamekuja kupigwa na vi team vya kawaida sana.

Yani las palmas iliyotukazia imepigwa 2 kwa 0 na deportivo alaves wakati hao palmas walitukamia kishenzi. Ancelotti mwenywe alisema watu wanakamia sana kwasababu wanajua ubora wa mbape,vini na rodrygo lasiivo mvua za magoli zinahusika
 
sasa wanataka waachiwe wafunge?
 
Hii ata mimi nimeliona aisee Madrid wanakamiwa sana yaani timu pinzani kama zimeambizana vile kikosi kizima kinashuka chini kukaba
 
Shida inakuja pale madrid akikutana na wapinzani pale laliga wanakamia sana safu ya ushambuliaji wa madrid na pia hawafunguki sana.Wacheki wote tulocheza nao wamekuja kupigwa na vi team vya kawaida sana.

Yani las palmas iliyotukazia imepigwa 2 kwa 0 na deportivo alaves wakati hao palmas walitukamia kishenzi. Ancelotti mwenywe alisema watu wanakamia sana kwasababu wanajua ubora wa mbape,vini na rodrygo lasiivo mvua za magoli zinahusika
Ila nyie mkipaki bus UEFA fresh?
 
Best performance toka msimu uanze, Uwepo wa Ceballos uliipa sana utulivu timu katikati. ila yupo weak kwenye attacking. ni lazima anapocheza pawe na no 10 juu yake, hakuna jinsi lazima winga ya kulia iuliwe, na hakuna no 10 bora zaidi ya DIaz.
 
FB_IMG_1725559208849.jpg
 
Sasa hivi tuna majeruhi kibao utasema tushageuka hospital,sasa sijui ni mazoezi makali sana ya Pinto au ni mtu wa chakula kajisahau?!
 
Back
Top Bottom