Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Their level is FA cup. Huku tunawawazia mabigwa wenzetu wa UEFA.Emirates wanasubir….wazee wa teta ball
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Their level is FA cup. Huku tunawawazia mabigwa wenzetu wa UEFA.Emirates wanasubir….wazee wa teta ball
Atletico ni wabishi sana, tuliwafunga ila hatukucheza vizuri sana, labda kwenye second leg tutaimarika zaidi ukizingatia kuwa Bellingham atasimama kwenye mid pia, na bahati nzuri sie hatuna kwetu wala kwao, Ninaamani katika Ushindi.Hàtimae tumewafunga hawa jamaa tumewawinda mda mrefu wanachomokea kwenye sare
Nilikuwaga najiuliza imekuwaje Valverde amepewa u captain Jana ndio nimeelewa.Napenda nidhamu ya Rodrigyo na Valverde.
Hawanaga time na marefa
Na ndio wachezaji wanaopigaga kazi zaidi.
Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
Sio mechi ya majaribio ila mbona kocha kafanya majaribio kumuweka diaz hiyo nafasi.
Umeona alichokicheza Diaz hapo katikati?
Anapoteza mipira hovyo na hajui hata kufanya making kila muda hayupo eneo sahihi
Ni vurugu tupu angècheza guller añgefanya vizuri zaidi ya vile maana ile ndio nafasi yake sahihi
Next week tunaenda kwao, ninasubiri iwa hamu zile amsha amsha zake, hopefully vijana watatuliza vichwa, na kwenye foward line wacheze kwa utulivu kama Rodrygo, na mid wapambane kama Bellingham, kule nyuma tumwachie kazi kijana mdogo Asencio kuzima mipango yao.,game ya jana ingeisha tatu moja chollo angechanganyikiwa sana
asencio ni kopi ya sergio ramos haogopi mtu kabisa kuna tukio moja jana kalifanya wakati amenda kshambulia kona alimskuma kwa nguvu gimenez had gimenez akasita kumsogelea dogoNext week tunaenda kwao, ninasubiri iwa hamu zile amsha amsha zake, hopefully vijana watatuliza vichwa, na kwenye foward line wacheze kwa utulivu kama Rodrygo, na mid wapambane kama Bellingham, kule nyuma tumwachie kazi kijana mdogo Asencio kuzima mipango yao.,
Sawa guller yupo weak ndio uanze na diaz mwenye mapepe?wanaopiga piga kelele kuwa Guler alikuwa aanze ni either wanamatatizo ya macho au watu amabo hawaitakii mema hii timu. Guller amakuwa katika worst performer kwenye timu alafu out from no where kuna watu waliatak aaznshiwe kwenye mechi ya Atletico.
Jamaa alivyo weak alafu bado watu walitaka aanze akukutane na akina De Paul na Llorente
Atletico hawa ni weupe kwetu nawaona kabisa.Atletico ni wabishi sana, tuliwafunga ila hatukucheza vizuri sana, labda kwenye second leg tutaimarika zaidi ukizingatia kuwa Bellingham atasimama kwenye mid pia, na bahati nzuri sie hatuna kwetu wala kwao, Ninaamani katika Ushindi.
#HalaMadrid
Sawa guller yupo weak ndio uanze na diaz mwenye mapepe?
Unasema Atletco hawahitaji mtu anaepiga vipasi...
Angalia alivyoingia modric mzee wa vipasi timu ilivyotulia pale katikati!
Nakubali uwezo wa diaz yupo aggressive, anafanya pressing, ana uwezo wa kukaa na mpira, Energy, mbio n.k
ila sio mbunifu kuwafanya wenzie wacheze kwahyo simkubali akicheza kiungo wa kati.
Akicheza pembeni ndio mzuri.
Mimi sijasema modric aliingia pahala pa Diaz...modric aliingia kama CM, Diaz alicheza AM, jaribu kotofautisha hizo position mkuu, kwa timu kama Atletico ni muhimu kuwa na AM amabye yupo more attacking na sio controlling. englikuwa ni mechi na timu kama barca basi englikuwa ni busara zaidi kuanza na mtu kama modric no 10 lakini sio Atletico.
Mimi sijasema modric aliingia pahala pa Diaz...
Bali nimesifia utulivu wa timu baada ya modric kuingia katikati.
Ndio maana kabla ya mechi tulipendekeza kwa kua modric ka umri kameenda kuanza kwa kiungo cha tiko tiko ni ngumuMkuu wewe lipoint out kama uwepo wa diaz ulikuwa ni tatizo kitu ambacho mimi ndio nilikataa.
Diaz hahusiku moja kwa moja kwenye role ya timu kuwa na utuliva katikati au kutokuepo. Timu inahitaji proper Cm katikati either Modric au Ceballos ili tuweze kuwa na utulivu katika. bila ya wao ni lazima timu itapata shida sana.
Ndio maana kabla ya mechi tulipendekeza kwa kua modric ka umri kameenda kuanza kwa kiungo cha tiko tiko ni ngumu
Basi angeanza walau na Guller... tuone walau ingekuaje?
Maana huyu diaz tulikua tushamuona na tulikua na wasi wasi nae kwa sababu hata mechi iliyopita vs Real bets hakua kafanya jipya alipoanza eneo lile.
Diaz hua mzuri akicheza forward line.. sio nyuma ya watu.
Kwahyo ulikua hutaki nirudi kwenye hoja wakati huo wewe ndio ulienirudisha!!!naona unarudi kwenye hoja, unaanzaje kumpanga mchezaji ambaye ndie worst performer kwenye midfield na forward line ya timu kwenye msimu kwa mechi kubwa kama hiyo out from no where?
washabiki wa mpira tuko more emotional kuliko logical.
Kwahyo ulikua hutaki nirudi kwenye hoja wakati huo wewe ndio ulienirudisha!!!
So ulitaka nikujibu vipi hapo zaidi ya hicho nilichoandika ambacho tulijadili mwanzo.
Au ulitaka nikae kimya ionekane nimekudharau mzee?
Guller ana muda mrefu hajacheza nadhani tangu 2025 iingie sidhani kama kacheza mechi kubwa yoyote.. labda ya bets aliyoingia second half
Sasa hiyo Worst performance yake kwenye mechi kubwa uliiona wapi?
Club iliwakatia tamaa kina Wesley sneider, Hakim, Alvaro morata, Martin ondegard, na hata ceballos.unafuatilia vizuri performance zake mkuu? uliangila mechi mbili za mwisho za copa? club inaelekea kukata nae tamaa, hivi sasa wanataka kujaribu wamtoe kwa mkopo.