Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP


Anko Wacha1...nadhan tht day tulikuwa pamoja, na hili la RVP, i felt sorry for him as well, wala haihitaj uzoefu wa soka kivile kujua tht day ref deciosion was poor, period...unles otherwiz naona kelele za Mour zitawafanya waamke kdg awa UEFA..

BTW umewasiliana na Mbu na AW juu ya yale maturabai?, nimeaambia wayalete London...lol!
 
hii style ya yetu ya kujilizia na kupendelewa kam mnavyoita itaendelea mpaka mou atakapobadilisha mfumo tu.
 
Twende na kanuni mkuu, kupewa kadi nyekundu haina maana kuwa wamebebwa. Wanavyocheza barca wanawafanya wapinzani wao kujisahau na kucheza rafu. \ile nyekundu uliiangalia mazingira ilotolewa?
 

Haya mambo huwa yanaitokea timu yoyote inapokuwa top ulaya, Man U pia walisuffer the same, Milan pia, Bayern nao walikumbana na hali hii. Ushabiki wa soka una tabia hii.
 
Vipi tena UNICEF ndiyo UEFA siku hizi? Tutajie timu hata moja isiyotangaza kampuni au shirika. Halafu uache uongo Sergio Ramos alipotolewa November mwaka jana ilikuwa ndani ya dakika mbili za nyongeza, wiki iliyopita Angel Di Maria alitolewa dakika ya mwisho ya mda wa nyongeza.. Ni kweli marefa ni binadamu na mara kadhaa wanakosea sana, lakini hiyo isiwe sababu ya kudanganyana hapa.
 
Ha ha haaa! Halafu adhabu ya 'viatu kwenda mbele' kwa mujibu wa sheria za mpira ni ipi???
 
wafa maji hao ndugu yangu
 
'Tuache double standard' wakati huo huo unaacha kuhoji kwa nini Adebayo hakulambishwa nyekundu kwa rafu yake mbaya jana?! Au labda hukuiona mkuu. Makosa yaliyomfanya refa ampe Pepe nyekundu badala ya njano ndo hayohayo yalimfanya ampe Adebayo njano badala ya nyekundu! So, justice done!
 


Barcelona Tactics.

1. Keep the ball.
2. Attack seriously.

Morinho Tactics against Barcelona.

1. Defend strongly.
2. Attempts counters.

Kwanini kadi zisitolewe hapo ?

Binafsi ningeona mnafanya jambo la busara zaidi kuzungumzia namna kadi zinavyotoka, na si kuargue kuwa Barcelona wanapendelewa. Katika mechi zote ulizozitaja hapo juu kadi zilitolew baada ya mchezaji kufanya faulo mbaya na isiyo ya kimichezo. Hebu angalia tackling aliyoifanya Pepe jana hapa,
YouTube - Real Madrid VS Barcelona 0-2 Pepe Red Card Highlights + Goals - Real Madrid Pepe Sending Off

hakika kama unajua sheria ya mpira hii ilikuwa ni staight red. Maana kanyanyua mguu purposely sio kucheza mpira bali kumkita Alves na ndio maana concentration yake haikuwa kwenye mpira bali kwenye mguu wa Alves baada ya kuona mpira ushamzidi. Hata commentator hapo msikie anasema sure this is straight red.
 
Wacha kuassume hujui na-support team gani Spain, ukitaka kujua uliza sio unakimbilia conclusion zisizo na kichwa wala miguu. Hapa tunajadili kama wapenzi wa soka ushabiki pembeni.

Mimi sijui timu unayoshabikia na silazimiki kujua, ila ninachojua kwa mshabiki yeyote wa soka akikuta timu zinacheza hata kama hajawahi kuziona akishawishika kuangalia tu hiyo mechi lazima atachagua timu mojawapo ya kushabikia na kutokana na mabandiko yako kwenye hii sredi unaonyesha kabisa ulikuwa real, hivyo jana mmepigwa ndo maana una hasira.
 
Mkuu, mechi zote? Ikiwemo fainali ya UEFA kati ya Man U na Barca?? Kumbe man u walikuwa pungufu?
 
hii style ya yetu ya kujilizia na kupendelewa kam mnavyoita itaendelea mpaka mou atakapobadilisha mfumo tu.

Kwa kifupi plan ya bw Mourinho ilifanyiwa home work vizuri na barca,maana jamaa alishajipanga kucheza na watu 10,kichwani wachezaji walishakaa mkao kucheza kingangari/kitemi mapema.
 
Kama Real ingekuwa inafundishwa na kocha mwingine matokeo ya mechi ya jana yangekuwa tosha kumfukuzisha kazi...lakini sababu ni Morinyo basi watu wako busy kweli kutetea!
Kaazi kweli kweli!!
 
Jamani man u ,kwa england ndio inaongozwa kwa kubebwa na marefarii....
 
Mpira unadunda bana,Mourinho anacheza na akili ya barca maana atajapiga mpira wa nothing to lose.Patachimbika.
 

kaka mimi siyo arsenal,bali mimi ni Barc,
 
Ngoja na mimi niweke senti zangu kuhusiana na game ya jana
Ilikuwa mojawapo ya game mbovu ambazo nimeziona sometimes bora hata Simba na Yanga

Barcelona
Kwa sasa hawapo kwenye kiwango kizuri hasa David Villa na Pedro wameshuka kiwango kwa sasa ila waliweza kumudu bila kucheza bila ya wachezaji muhimu kama beki wa kushoto na Iniesta.Baada ya juzi Guardiola kumtukana Mourinho kwenye press conference alivyotoka wachezaji walianza kumpigia makofi.Nilijua hii game itakuja kuwa vita mchezaji akiguswa tu kaanguka na wengine wote wanamzingira refa

Real Madrid
Baada ya game ya kombe la mfalme ni kweli kwamba Mourinho alipata mbinu ya kuwazuia Barca ,ambayo ni kujaza viungo kuwachosha Barca na jinsi muda unavyozidi kwenda ndio anaanza kushambulia.Jana alikosea kumuanzisha Ozil angeanza Benzema/Higuain.Ingawa anasema jana alitaka kumuingiza KAKA dakika 25 za mwisho Pepe alivyopata kadi tu mipango ikaharibika .Kadi ya Pepe ilikuwa sawa ila sidhani kama Mourinho alistahili kutolewa jukwaani

Maneno anayoyaongea Mourinho ni ya ukweli ila ndio yanamletea matatizo,yale matusi aliyotukana Pep ingekuwa Fergie au mchezaji wa timu nyingine angefungiwa hata mechi 10
 
Ngoja na mimi niweke senti zangu kuhusiana na game ya jana
Ilikuwa mojawapo ya game mbovu ambazo nimeziona sometimes bora hata Simba na Yanga

Hebu acha kufunga watu wazima Kamba! Wewe ulikuwa unaangalia mpira upi??
 
Hebu acha kufunga watu wazima Kamba! Wewe ulikuwa unaangalia mpira upi??
Masa kila faulu ikichezwa wachezaji wote wanamvamia refa,i wish Colina angekuwa refa.Approach ya JM iliharibu game kabisa,nimeangalia El clasico zote hii ilikuwa mbovu kuliko zote
 
Masa kila faulu ikichezwa wachezaji wote wanamvamia refa,i wish Colina angekuwa refa.Approach ya JM iliharibu game kabisa,nimeangalia El clasico zote hii ilikuwa mbovu kuliko zote

Ulikuwa hata huoni zile pass 62 za Barca? Hata goli la pili la Messi nalo lilikuwa baya? Ama kweli kipenda roho hula nyama iliyooza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…