Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Lmfao!! Wewe nawe unakimbilia kuconclude...! Ebu rudi nyuma usime posts zangu uone argument yangu ni ipi...

Hahaah fair play ndio ina encourage wachezaji kuact kama wamepigwa vipesi, kumzonga refa ili atoe kadi etc etc?

Ukiangalia kwa mtazamo wako utaona kama walikuwa wanaact kupigwa, ila kiukweli Madrid hawakuwa wanacheza fair game na ndio maana mara kadhaa wachezaji wa Barca walikuwa wanamwendea refa. Faulo nyingi zilifanywa na wachezaji wa Madrid ila hizo hutaki kuzizungumzia. Kumwendea refa sio kuwa ndio inamaanisha hauchezi fair game bali walikuwa wanamkumbusha kuwa makini zaidi na vitendo vya kihuni walivyokuwa wanafanyiwa.
 
Jose Mourinho amejitoa mhanga kuharibu credibility ya barca kwa kusema ukweli mtupu kuhusiana na barca. Sasa barca itapoteza mashabiki, tv money na some sponsorship deals kwa sababu watu wengi wataamini kama barca inabebwa, ingawa wengine tulishaona tangu zamani. Hata kwenye mechi za la liga, barca ikicheza na lower teams huwa inapata decisions nyingi wrongly at their favour. Mou will be remembered for this in many years to come. I believe FIFA wataweka sheria kali zaidi za kuzuia simulation kwa wachezaji, na kwa mchezaji atakayelalamika kwa mwamuzi kama yeye si nahodha wa timu. Kwenye mechi ya real v. barca wachezaji 8 wa barca including valdes walikuwa wanamzonga refa katika kutoa maamuzi which is very intimidating since the referee has got some emotions also.
 
barcelona team is a disgrace to football, totally disgrace.
 
Barca ni kweli wanabebwa?

Kwa hiyo mechi ya juzi, naweza kufikiri kwamba wanabebwa kwa sababu ile haikuwa fool play inayostahili kumuonyesha mchezaji kadi nyekundu. Na kosa lingine la referee ni kutoa hiyo kadi baada ya kuzongwa na wachezaji wa Barca. Nilitarajia angetoa angalau kadi ya njano kwa wachezaji wa Barca waliomzonga lakini wala hakutoa!!!! Sasa hapa unaweza kumuelewaje referee?

Tiba
 
Jamani tuongee kimsing na kimantiki......kuna msemo wa kiswahili kwamba eti mbaazi ukikosa maua husingizia jua....technically RM walizidiwa sana wajamen, mpira una S TATU YAANI SPIDI, SKILLS NA STAMINA.....NA B TATU BALL CONTROL, BALL POSSESION NA BALL BALANCIN ..Yaani haya yote hamkuyaona???? au milayaona baada ya RM kubakia 10? unajua falsafa ya rafu katika soka?......Indeed ukiumia si maumivu yanakimbilia kichwani? au tumeshahu biolojia? Wenger hawezi fukuzwa Arsenal, ni kocha pekee ambaye jina lake linafanana na Timu hiyo...........tehetehetehe............
 
Dah! Mkuu, hili 'pande' umelichimba wapi?! Hivi kwenye mobile kale kadude mnakoita ka senksi au like kanapatikana kweli??? Mimi kwa makocha huwa nampenda Morinho kwa sababu ya vituko vyake, na hii ni bila kujali anafundisha timu gani. Lakini anapotapika propaganda zake kama ile juzi hata kwa bunduki sikubaliani naye. Natamani waliomuunga mkono juzi waje hapa bìla unafiki wajibu hii kitu.
 
barcelona team is a disgrace to football, totally disgrace.

True kaka maana hata wakati Real wanapigwa 5 ndani ya Nou camp walibebwa!! Acheni ushabiki wa kitoto and accept defeat with grace. Just a few months ago when Barca demolished Real 5-0, people claimed that Barca was the best team on the planet and that that game was one of the best ever. What has suddenly caused Barca to be a disgrace? Tatizo lenu huwa mnasubiri El-clasico tu inabidi muangalie mechi nyingi zinazozihusu hizi club mbili then ndio uje hapa useme nani zaidi!! When was the last time Real defeated Barca ukiondoa copa del ray ya juzi? You will have to go back all the way to May 7, 2008. That is how good this current Barca team is.
 
Reactions: Aza
ni hivi,mtasemaaa weee ila barca ipo palepale,,,nendeni mkaisaidie arsenal,liverpool kwa kumwajiri uyo morinyo uko if he is such a "honest coach"...hataki kukubali kwamba si kocha bora kiivo na keshaishiwa siku nyingi tu ni bla bla zake kutaka media attention
mpira ni mguu dk 90 +nyongeza basi

tunasubiri
 
Kazi ni kazi leo ndo leo barcelonaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tutabebwa sana sababu ya msingi =classic football . Mind refresher , where football lives ,kila mtu na maono yake jamani this is barca time msiwe na wivu hivyo we rule the world .zamu yetu ikiisha atakuja mwingine hiyo ndio futboli waunganaaa najua moyoni mnakubali ukweli .
 
lazima tuukubali ukweli kuwa Barca ni timu nzuri na huyu little devil wao (messi) ni balaa kabisa ,lakini pamoja na hayo yote Mourinho anadeserve kuitwa special one,,ni yeye pekee aliye fanikiwa kuipokonya Barca ubingwa tena mara 2 ,moja akiwa na inter ktk Champions ligi na majuzi hapa ktk copa de rey ,mechi ya leo imekwisha najua Barca wamepita lakini ukweli ni kwamba bila kadi nyekundu mechi ile ingeweza kuisha bila bila
 

Barca haikuwa bingwa wa Copa, ni Sevilla ndo walikuwa mabingwa.

Kufungwa na RM si tatizo, tumeshafungwa sana, tatizo ni kufungwa na timu anayofundisha Jose, machungu yake ni mabaya ukitaka kujua vizuri waulize Arsene(Wenger), SAF, Benitez etc. Tunaogopa lugha chafu inayotoka mdomoni mwake.
 
leo Man U... watakuwa madrid fans!.. mziki wa barca si wa kitoto...:A S-baby:
 
hapo kwenye red naona umetaja lini ulianza kufuatilia el classico, hii link El Clásico - Wikipedia, the free encyclopedia itakusaidia kujibu hapo kwenye blue.
 
Leo tunataka kuweka historia ktk uefa kwa Messi kuvunja rekodi ya Rud vanestroy ya magoli 12.
Kuna anayebisha?
 
Unaweza kubashiri nani ataibuka kidedea?

jibu rahisi kama sio draw basi real wanaweza kupigwa si chini ya goli tatu..... hapo nimevaa mikoba ya sheikh yahya teh teh.



Wale wanapenda kufutilia match cast ya maneno ya wataalam hapa FC Barcelona v Real Madrid | Live | Score | Champions League 2010-2011 - Yahoo Eurosport UK



BARCELONA TEAM: Valdes, Dani Alves, Mascherano, Pique, Puyol, Xavi, Busquets, Iniesta, Villa, Messi, Pedro; Subs: Olazabal, Jeffren, Keita, Afellay, Abidal, Fontas, Thiago


REAL MADRID TEAM: Casillas, Arbeloa, Carvalho, Albiol, Marcelo, Diarra, Alonso, Ronaldo, Kaka, Di Maria, Higuain; Subs: Dudek, Benzema, Granero, Garay, Ozil, Adebayor, Nacho
 
Namhurumia atakayepita hapa kwa sbb kiama chake ni Wembley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…