Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaz yake ni. kuvunja rekodi 2
Asante Barca,asante Coast Union.
wee kaa hapo tu kusema la liga haina mpango kutizama wakati dunia yote leo ilikua santiago berbeau inaonekana wee fan wa man uLa Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
kaz yake ni. kuvunja rekodi 2
wee kaa hapo tu kusema la liga haina mpango kutizama wakati dunia yote leo ilikua santiago berbeau inaonekana wee fan wa man u
alaa kumbe ndo maana na bado sasa athlentico madrid anakula 3 pale camp nouumekosea mkuu nishabiki wa wenger
wa epl walisema eti laliga li mbuzi eti mara mtu kapigwa 5 mara 6 au 7 haya jumamosi chelsea kampa ngapi wanger man city nae bila kusahau liva .La Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
haya.. tushawatundika nne, tunawasubiri Camp Nou
teh teh teh hiiii mechi nimekoswa koswa kudundwa aiseee nimeshangilia mwanzo mwisho kunajamaa kumbe alikuwa nyuma yangu namkwaza sana kwashangwe zangu gori la mwisho nadimama tu kjshangilia kanikosa kosa kumipiga kerb
With the kind of brilliant midfielders Barca has and the referees enjoying giving to Barca anyone can break all records
wakisha fungwa wanasingizia refa mara uefalona eti fifalona chezea messi weee!!!!
Barca benefits too much from referees...spanish referees are,the worst on the world..mxxxxx
ukichunguza kwa makini sijui ni kwa nini mashabiki wa ligi ya england huwa hamuipendi barca! Kisingizio kikuu ni referees wanaibeba barca, hivi hakuna refa anayeichukia barca dunia hii au mnataka kuniambia marefa wote wanaochezesha mpira wa barca ni mashabiki wa barca! Acheni wivu wa kike mnapoona barca wanajua mpira! Sorry to bust your wonderful buble