Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

teh teh teh hiiii mechi nimekoswa koswa kudundwa aiseee nimeshangilia mwanzo mwisho kunajamaa kumbe alikuwa nyuma yangu namkwaza sana kwashangwe zangu gori la mwisho nadimama tu kjshangilia kanikosa kosa kumipiga kerb
 
La Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
wee kaa hapo tu kusema la liga haina mpango kutizama wakati dunia yote leo ilikua santiago berbeau inaonekana wee fan wa man u
 
umekosea mkuu nishabiki wa wenger
 
La Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
wa epl walisema eti laliga li mbuzi eti mara mtu kapigwa 5 mara 6 au 7 haya jumamosi chelsea kampa ngapi wanger man city nae bila kusahau liva .
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barça wanatakiwa wasajiri beki kama David Luiz au Alaba ili timu iwe na defence nzuri.
 
Barca benefits too much from referees...spanish referees are,the worst on the world..mxxxxx
 
teh teh teh hiiii mechi nimekoswa koswa kudundwa aiseee nimeshangilia mwanzo mwisho kunajamaa kumbe alikuwa nyuma yangu namkwaza sana kwashangwe zangu gori la mwisho nadimama tu kjshangilia kanikosa kosa kumipiga kerb

pole sana kiongozi, lakini tumewapata leo jeuri yote kwisha
 
With the kind of brilliant midfielders Barca has and the referees enjoying giving to Barca anyone can break all records

ukichunguza kwa makini sijui ni kwa nini mashabiki wa ligi ya england huwa hamuipendi barca! Kisingizio kikuu ni referees wanaibeba barca, hivi hakuna refa anayeichukia barca dunia hii au mnataka kuniambia marefa wote wanaochezesha mpira wa barca ni mashabiki wa barca! Acheni wivu wa kike mnapoona barca wanajua mpira! Sorry to bust your wonderful buble
 
Barca benefits too much from referees...spanish referees are,the worst on the world..mxxxxx

ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah! Visingizio havitawaokoa na kichapo, vipi uefa nako wanachezesha marefa wa spain tu!? Mbona nako mnasema barca anapendelewa!? Kuna haja tuwe tunateua makocha wa timu zenu wawe wanachezesha mechi zidi ya barca
shikamooo messi
 
ukichunguza kwa makini sijui ni kwa nini mashabiki wa ligi ya england huwa hamuipendi barca! Kisingizio kikuu ni referees wanaibeba barca, hivi hakuna refa anayeichukia barca dunia hii au mnataka kuniambia marefa wote wanaochezesha mpira wa barca ni mashabiki wa barca! Acheni wivu wa kike mnapoona barca wanajua mpira! Sorry to bust your wonderful buble

kwelo kabsaa mkuu ila sanasana ni mashabiki wa MANCHESTER
 
Barcelona Barcelonaa uuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiuii juuuuuuuuuu
 
Kuna Uwezekano hata Messi akachukua kiatu msimu huu.
 
Back
Top Bottom