Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Hahahaha Pazi naona kazi ya u - Shekhe Yahya huiwezi
 
Last edited by a moderator:
Mbona uzi umepooza. Naona Iniesta anatesa sasa Real wameamua kucheza rafu. Dkika zinataradadi
 
huyu Refa ingekuwa Colombia ingebidi awe anatembea amevaa nguo ya kuzuia risasi
 
Real Madrid kidogo wamekuwa na nizamu angekuwepo Morinho red zengekuwa nyingi.
 
La Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
 
mbona Ath Madrid ipo nayo
 
La Liga haina mpango kutizama Barca tu na Real Madrid basi Huyu Bale ndio atazungumziwa Spain full time Real Madrid 3 Barca 4 man of the match ni refa.
Refa kaharibu ElClassico ngoja nlale tu
 
Siamin macho yangu!!! Red card imetukosti!!!
 
Back
Top Bottom