Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Mtoto yake nepi tuu....
Ulitakiwa cr7Naona liver Nate kalipiza.
Na mkubwa yake nini [emoji16][emoji16]Mtoto yake nepi tuu....
Mkuu Salah ametoka basi me nipo Madrid bhana ila dah nakumbuka ronaldo fainali ya euroRamos alaaniwe yeye na kizazi chake chote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sanaMkuu Salah ametoka basi me nipo Madrid bhana ila dah nakumbuka ronaldo fainali ya euro
Ngoja tubebe kombe,ntakujibu shosti tuendelee kula bisi kwanza[emoji16]Na mkubwa yake nini [emoji16][emoji16]
Sasaaa!!ngoma ya watoto!!Mtoto yake nepi tuu....
Wataka niseme?!!!Na mkubwa yake nini [emoji16][emoji16]
Marcelo ndio hatari zaidi, asipocheza huyo, hao wengine huwaoni.daaah I believe in Liver ila nikimuona Marcelo,benzema na CR7 nakata tamaa
Jamaa anazinguaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
Umeona eeeh!Ngoja tubebe kombe,ntakujibu shosti tuendelee kula bisi kwanza[emoji16]
Leo ni leoMtoto halali na hela....ngoma ya kitoto haikeshi