Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Ramos kiboko yake Messi ..nakumbuka mwaka Jana alikirusha Paulo Dybala dogo akapanick akatoka mchezoni...
 
mimi nilifikiri mpira ile wa naniliu umekuumiza labda umekubana! kumbe huna lolote!..hahahahaha
 
Vijana mnaoshabikia mpira bila kuhufahamu ndo tatizo lenu
 
Hatari sana na bahati yao salaah kaumia mnekula amgoli mensi sana nyie madrid miziki mipya ingia bongovibe.com
 
Ukiangalia in slow motion utaona kabisa ile ni bahati mbaya na Ramos hakuung'ang'ania mkono wa Salah kama mnavyotaka kuuaminisha umma. Hata wachambuzi wa soka mahiri kabisa ambao wanajua a,b,c,ds za soka wameona na kusema ile haikuwa intentional.

Bahati mbaya tu Ramos ana reputation mbaya ya kuwaminya wenzie kimyakimya. Ila kwa ile ya jana asihukumiwe. Hata ile rafu ya Carjaval unaweza kusema ni makusudi pia.
 
Muwe na mnaangalia na timu za kubetia
 
Kama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninaucheza
Wewe hujacheza mpira mahaba ya kuapia kuwa Liver lazima ashinde ndo yamekufikisha hapo, kwani Sarah ndo mchezaji wa kwanza kuumia katika fainali? Na katika hilo tukio unaona kabisa wote walikuwa wanagombania mpira Ramos akaucheza
 
Calvary mgonjwa yule[emoji23] [emoji23] [emoji23]ungeuliza tu au ndo alishafungwa tenaa
 
Liver acheni kutafuta visingizio, lile ni tukio la kawaida sana ktk soka.
Nafikiri mashabiki wengi wa liver humu ni mashabiki tu ila hawajawahi cheza mpira. Beki wa kati yule, purukushani lazima awe nazo na ndio zinamfanya kuwa mmoja wa mabeki bora, analula nawe sahani moja. mbona kina Messi wameshamzoea?? Huku Ramos pale Pepe. Zoezi tosha kwa Messi na kina Suarez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…