Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia ya kubet sio nzir kabisa , madhara yake ndio haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo nimeumia kushinda kitu chochote lkn yatakwisha tu
Vijana mnaoshabikia mpira bila kuhufahamu ndo tatizo lenuNimeona watu wakitetea uhuni uliofanywa na Ramos jana kwa kisingizio cha cha mambo ya kawaida kwenye mpira, Labda kama mlianza kuangalia mpira jana lakini kwa tunaofutilia mpira tunawajua Ramos, Pepe na Marcelo hawajawahi kuwa waungwana kwenye soka. Lionel Mess amekua victim mkubwa wa uhuni unaofanywa na hao watu.
Ramos anaongoza kuwa na kadi nyekundu nyingi duniani, na ni kwa vile tu anachezea Madrid kwa papa Perez la sivyo angekua anakumbana na vifungo vikali zaidi vya soka. Tukemee kwa nguvu zote aina zile za uhuni kwani kila mtu anauweza sema tu watu wameamua kufuata sheria.
Babu ni Liver damu kabisa!alimaanisha anachokisemahahaha babu sala yako uliimanisha kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninauchezaVijana mnaoshabikia mpira bila kuhufahamu ndo tatizo lenu
Muwe na mnaangalia na timu za kubetiaLiver asipotwaa ubingwa leo naombwa nipigwe life ban humu ndani.
NB. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa mashetani wekundu kutoka jiji la Manchester, huyu mtani wangu (Liverpool) leo nimejikuta maombi yangu ya yeye kufungwa yamegongwa mwamba hivyo naomba kusema leo mtani anashinda mapema saaana.
nafikiri bibi Sky Eclat atakua anampa babu uji uko alipo saa hizi hahahaBabu ni Liver damu kabisa!alimaanisha anachokisema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole Sana n do matatizo ya kuwa na matokeo mkononi hayo
Wewe hujacheza mpira mahaba ya kuapia kuwa Liver lazima ashinde ndo yamekufikisha hapo, kwani Sarah ndo mchezaji wa kwanza kuumia katika fainali? Na katika hilo tukio unaona kabisa wote walikuwa wanagombania mpira Ramos akauchezaKama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninaucheza
Calvary mgonjwa yule[emoji23] [emoji23] [emoji23]ungeuliza tu au ndo alishafungwa tenaaJamani sisi wadada mambo ya mpira wengi wetu hatuyajui kabisa.
Jana niliona mchezaji mmoja wa Real Madrid akilia kwa uchungu Na kushindwa kuendelea Na mpira.
Alipotoka uwanjani akaenda vyumba vya kubadilishia nguo.
Hivi alikumbwa na nini? Nilishindwa kumuuliza Mr. Maana alikuwa Na temper ya ajabu kabla hata mpira haujaanza