Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante shem wanguNipo, ulipotea hivi karibuni.
Hongera kwa ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante shem wanguNipo, ulipotea hivi karibuni.
Hongera kwa ushindi
Pole mkuu, kunywa maji kitapoaYani mimi nina hasira kinoma noma dah! Hadi kichwa kinauma
Hakika mkuu... Mpira mchezo wa makosaGoli la kwanza Na la tatu yanamhusu.
Acrobat goal lile hata Moses Mkandawile hadaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Washazika au bado?!!
Hollaaaa![emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471]
13 times baaaabyyyyyy!!
Give me a maaaaap! I need to creat a Real Madrid Country
WozaaaaaAsanteee team mate wooozaaaa
Nilitamani waendelee kuwepoWameloana bila maji, chezea Madrid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madrid halaaa
SanaaaaBarcelona wamechukia kuliko Liverpool wenyewe
[HASHTAG]#Utani[/HASHTAG]
Asante sana ila Dah! Hata maji hayapandi kabisaPole mkuu, kunywa maji kitapoa
Watu wazima hawawezi kutembea pekee yao.SIKU NYINGINE WAJIFUNZE KUTEMBEA PEKE YAO, eti "YNWA" POLE.
Acha tuu aisee nilikuwa Nataka Liverpool washinde [emoji26]Kawauza kweli kweli
Mpe simu mke wangu aniliwaze kwanza mama mkwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karius angekuwa Mkurugenzi fulani kwenye serikali ya JPM saa hizi kitambo tushapata press release toka Ikulu na signature ya Msigwa. “Atapangiwa kazi nyingine”.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ba mkwe mkeo kalalaMpe simu mke wangu aniliwaze kwanza mama mkwe
Happy birthday JFmate..Asanteee team mate wooozaaaa
Kuna kipa alikuwa anaitwa Juma Hamad, kadakia Town Stars, Tukuyu Stars, Mecco Na Simba.Nimesikitika sana jinsi huyu Goalkeeper alivyowauza ,yaani Acha tuu ,.