Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Kama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninaucheza
Bongo mnaujua mpira siku hizi na kuucheza?. Huu huu tunaouona simba na yanga? Wachezaji mmekomaa kama mnashindia Mapera.
 
Chelsea FC na Man United ndio vidume wa England hao wengine wanahitaji kuja kuoga Maji ya baraka kwa CFC au Man United. Poleni Looserpool
 
Utakuwa na makengeza wewe

Hiyo hiyo tazama vizuri Ramos alivojigeuza hewa alipokuwa kwenye landing process

1 aliuvuta mkono wa sala

2. Akajibinuwa kuuvunja 100% akiwa na nusu nyingine ya mkono upande mwingine

Ukitaka kuelewa alifanya makisudi tazama alivojigeuza kuhama ambapo angedondokea akajirushia kufanya haribifu kwa sala
Hivi hata unaelewa mkono ulioumia sio ule walioshikana na Ramos??

Pole kwa maumivu.
 
Klop never had a plan B baada (au hata kabla) ya Salah kuumia. Kroos na Modric bossed that mildfield area na sasa Mane angepataje mpira kama 65% walikuwa nao akina Modric na Isco? Harafu "makosa" ya keeper yanakuzwa sana. Ni part ya game. Benzema asingempa pressure kubwa au Bale asingevuta ule mshuti, hayo magoli yasingepatikana.

Madrid were just superb on the night. Ni kama hawakutoka jasho hata kidogo. Casemiro was very comfortable. Simple as that
 
Sio klop tu bali na timu yote ya liver kuanzia timu nzima hadi mashabiki wote wa liver duniani wote walipaniki na hawakuwa na plan B.
 
Madrid bingwa mkuu, mara ya 13 akimpiga Liver 3-1.
Hizi zingine ni visingizio tu, mpira wengine bado tunacheza ndondo mpaka leo.
RM ni bigwa kwa mara ya tatu mfululizo chini ya Zizou, hamna ubishi hapo; wana kikosi bora sana.

Liverpool wamefungishwa na kipa wao, hakuna hata goli moja la maana pale kusema AISHI MANULA atafungwa.

Hoja ni uhuni wa Ramos tu.
 
Ebwana Eeh! Inawezekana hii? Ngoja Nitazame Vizuri
Ramos kasema hivi!
Screenshot_20180527-171559.jpg
 
Ebwana Eeh! Inawezekana hii? Ngoja Nitazame Vizuri
Ndio hivyo, wengi wanapiga kelele kwa maumivu ya kufungwa, Ni visababu tu kupunguza machungu. Salah ameumia bega la mkono wa kushoto lakini wali lock kwa mkono wa kushoto (Ramos) na mkono wa kulia (Salah). Watu wanapiga tu kelele kwamba alimlalia mkono maksudi, hawaangalii hata mkono gani umeumia.
Kuna wengine eti wanasema hata magwiji wa soka wanasema ilikua maksudi. Magwiji wenyewe ni waingereza, unategemea waingereza waseme nini? Unadhani hawaumii kuona Laliga wanatawala soka tena kwa kiwango kikubwa namna hii.

Angalieni mkono ulioumia, then mmeze Panadol kutuliza maumivu.
EPL hamna mpira, mmebaki na tabia za akina Manara tu sasa.
 
Umeflow Vizuri Mkuu, Ila Hapo Kwa Manara tu, Umeharibu Sasa [emoji16]
 
Hahahaha, Mkuu we samehe tu. Mwenyewe ni shabiki wa timu husika, ila kwa viwango vya huko kwa wenzetu mambo ya maneno hayaitajiki. Watuachie hukuhuku kwetu.
 
Mihemuko ya watu tulidhani ungekuwa mchezo mgumu ila imrkuwa tofauti kwa timu kumtegemea mtu mmoja kepelekea wazachaj wengine kuathiriwa kimchezo
 
Back
Top Bottom