Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Ramos ni akili kubwaLiverpool kafungwa kwa upuuzi wa kipa wao
Lakini Ramos kamuumiza sala kwa kudhamilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramos ni akili kubwaLiverpool kafungwa kwa upuuzi wa kipa wao
Lakini Ramos kamuumiza sala kwa kudhamilia
Na ndo kazi tuliyompaRamos ni akili kubwa
Bongo mnaujua mpira siku hizi na kuucheza?. Huu huu tunaouona simba na yanga? Wachezaji mmekomaa kama mnashindia Mapera.Kama hujacheza mpira huwezi jua nachokisema.. Mimi sio kushabikia tu, naujua na ninaucheza
Hivi hata unaelewa mkono ulioumia sio ule walioshikana na Ramos??Utakuwa na makengeza wewe
Hiyo hiyo tazama vizuri Ramos alivojigeuza hewa alipokuwa kwenye landing process
1 aliuvuta mkono wa sala
2. Akajibinuwa kuuvunja 100% akiwa na nusu nyingine ya mkono upande mwingine
Ukitaka kuelewa alifanya makisudi tazama alivojigeuza kuhama ambapo angedondokea akajirushia kufanya haribifu kwa sala
Sio klop tu bali na timu yote ya liver kuanzia timu nzima hadi mashabiki wote wa liver duniani wote walipaniki na hawakuwa na plan B.Klop never had a plan B baada (au hata kabla) ya Salah kuumia. Kroos na Modric bossed that mildfield area na sasa Mane angepataje mpira kama 65% walikuwa nao akina Modric na Isco? Harafu "makosa" ya keeper yanakuzwa sana. Ni part ya game. Benzema asingempa pressure kubwa au Bale asingevuta ule mshuti, hayo magoli yasingepatikana.
Madrid were just superb on the night. Ni kama hawakutoka jasho hata kidogo. Casemiro was very comfortable. Simple as that
RM ni bigwa kwa mara ya tatu mfululizo chini ya Zizou, hamna ubishi hapo; wana kikosi bora sana.Madrid bingwa mkuu, mara ya 13 akimpiga Liver 3-1.
Hizi zingine ni visingizio tu, mpira wengine bado tunacheza ndondo mpaka leo.
Ebwana Eeh! Inawezekana hii? Ngoja Nitazame VizuriHivi hata unaelewa mkono ulioumia sio ule walioshikana na Ramos??
Pole kwa maumivu.
Ramos kasema hivi!Ebwana Eeh! Inawezekana hii? Ngoja Nitazame Vizuri
No one speaks about this player!Ramos kasema hivi! View attachment 787713
Mkuu achana na hawa midumange!Hivi hata unaelewa mkono ulioumia sio ule walioshikana na Ramos??
Pole kwa maumivu.
Ndio hivyo, wengi wanapiga kelele kwa maumivu ya kufungwa, Ni visababu tu kupunguza machungu. Salah ameumia bega la mkono wa kushoto lakini wali lock kwa mkono wa kushoto (Ramos) na mkono wa kulia (Salah). Watu wanapiga tu kelele kwamba alimlalia mkono maksudi, hawaangalii hata mkono gani umeumia.Ebwana Eeh! Inawezekana hii? Ngoja Nitazame Vizuri
Na Mwisho Wa Hasira Huwa HiviMkuu achana na hawa midumange!
Kwa ufupi hizi Ni hasira za betting to wala hakuna kingine!
Umeflow Vizuri Mkuu, Ila Hapo Kwa Manara tu, Umeharibu Sasa [emoji16]Ndio hivyo, wengi wanapiga kelele kwa maumivu ya kufungwa, Ni visababu tu kupunguza machungu. Salah ameumia bega la mkono wa kushoto lakini wali lock kwa mkono wa kushoto (Ramos) na mkono wa kulia (Salah). Watu wanapiga tu kelele kwamba alimlalia mkono maksudi, hawaangalii hata mkono gani umeumia.
Kuna wengine eti wanasema hata magwiji wa soka wanasema ilikua maksudi. Magwiji wenyewe ni waingereza, unategemea waingereza waseme nini? Unadhani hawaumii kuona Laliga wanatawala soka tena kwa kiwango kikubwa namna hii.
Angalieni mkono ulioumia, then mmeze Panadol kutuliza maumivu.
EPL hamna mpira, mmebaki na tabia za akina Manara tu sasa.
mamaee namchukia huyo mngese aliyenuna hapo
Hahahaha, Mkuu we samehe tu. Mwenyewe ni shabiki wa timu husika, ila kwa viwango vya huko kwa wenzetu mambo ya maneno hayaitajiki. Watuachie hukuhuku kwetu.Umeflow Vizuri Mkuu, Ila Hapo Kwa Manara tu, Umeharibu Sasa [emoji16]
HA HA HA...HIVI LIVERPOOL ILITEGEMEA KUMFUNGA MADRID?acha kufananisha Madrid na Kitu cha Kipuuzi