Upuuzi mtupu. Hiyo madrid ni nini kwako? Hivi wazazi wako kama wana akili wakifanikiwa kuusoma huu upupu wako watajisia vipi?Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
NAKUUNGA MKONO 1000%Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Ha ha ha NO HARD FEELINGSUpuuzi mtupu. Hiyo madrid ni nini kwako? Hivi wazazi wako kama wana akili wakifanikiwa kuusoma huu upupu wako watajisia vipi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuiacha jamiiforums si jambo dogo atiHahaa! Mkuu si useme tu ID hii itaenda mapumzikoni na wakati huo ukitumia ile ID ingine.
FT: Liverpool 1-0 MadridWadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
ID fake ndo inakupa jeuri yakuongea huu upupuKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Matokeo yakiwa hivi natembea uchi siku nzimaNenda kajinyonge sasa hivi kwani Liverpool inaifunga Madrid 4 - 1. Kama hutojiua kabla ya hapo basi rudi tena Jumamosi usiku uje kuniaga rasmi, ila ujumbe ndio huo. Liverpool 4 Madrid 1.
Naomba usiondoke bila kuniona maana hachikui UCL [emoji23][emoji23][emoji23]Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Kabisa aondoke maana huyo Madrid hana pa kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]Anza tu kutoka sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji467]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa aondoke maana huyo Madrid hana pa kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]
Viapo vya kukufuruKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
harafu utanipa namba zakeMadrid akishinda namuacha mke wangu
Liverpool mabingwa