Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
- Thread starter
- #81
91' Madrid 3 vs 1 Liverpool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu nakusalimuKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Umefika wapi sasa?Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mimi ninachotaka ni """Madrid awe wakwanza kupata goli, na kama Liva atapata goli wa kwanza, bhasi waDROO dakika 90"""
Au Waishie Dakika 90 0-0.
Duuh umesalimika kuji - BAN mwenyeweHuwa najihisi mpweke nisipoingia JF hata kwa lisaa limoja, Lakini awamu hii MADRID wakipigwa na LIVERPOOL itabidi nijiadhibu nisiingie JF kwa mwezi mzima.
Ndiyo, Mkuu!Duuh umesalimika kuji - BAN mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo hawaji au siyo majogoo wa kweli?
vipi umefikia wapi kutembea uchi??Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Umeshaanza kutembea uchi?Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Ina maana hunipi mkeo?Madrid akishinda namuacha mke wangu
Liverpool mabingwa