DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umelewa??Bingwa Barcelona asilimia 99.9999999999 akiteleza kidogo Bayern Bingwa. Tukutane fainali.
Ndio mkuu Mimi nimeelewa, VP kwani we umeolewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umelewa??
Mimi nimeoa, vipi wewe umeolewa??Ndio mkuu Mimi nimeelewa, VP kwani we umeolewa?
Mkuu mm nimeoa kwan ni lazima nikuoe wewe? Acha hizo wanaume tupo wengi.Mimi nimeoa, vipi wewe umeolewa??
Alafu siku nyingine jitahidi usome kilicho andikwa sio unakurupuka kujibu kabla hujaelewa.
Madrid hachukui UEFA msimu huu, lakini hawezi kutolewa na PSG.
Hakuna team ya England yenye uwezo wa Kumtolea real Madrid hata kama sio nzuri kiasiii hiko, ila na hato chukua kombe pia
Iko hivo ndio maana hata ktk game ya PSG hawakupewa nafasi piaaInawezekana sana mkuu,madrid ya sasa sio ya msimu jana.
Totenham mwenyewe kashamgonga madrid na baselona pia ubingwa ni kwa uingereza hispania msimu hawana timu ya kuchukua ubingwaHakuna team ya England yenye uwezo wa Kumtolea real Madrid hata kama sio nzuri kiasiii hiko, ila na hato chukua kombe pia
Hapa league iLipofikia ni uzoefuu,ujanja ujanja, bahati na mbinu za njee ya uwanja.Totenham mwenyewe kashamgonga madrid na baselona pia ubingwa ni kwa uingereza hispania msimu hawana timu ya kuchukua ubingwa
Kwa ligi IPI PSG amfunge madridMechi bado haijaisha ile