Real women don’t ask men for money. Your behaviors put you in a man's budget

Real women don’t ask men for money. Your behaviors put you in a man's budget

Wanaume acheni excuse za ajabu ajabu hakuna mwanamke asiyependa pesa.
Kama huna hela tafuta type yak.
N.B sikuwahi kuomba mtu hela ila lazima mtu ujiongeze
 
Wanaume acheni excuse za ajabu ajabu hakuna mwanamke asiyependa pesa.
Kama huna hela tafuta type yak.
N.B sikuwahi kuomba mtu hela ila lazima mtu ujiongeze
Akikupa hela we utampatia nini ?

Pesa inaweza kuwa na thamani na uchi wa mwanamke ?

Msichukulie poa mgekuwa mna hiyo thamani ya kupewa pesa msingekuwa mnatanga tanga
 
Real women don’t ask men for money. Your behaviors put you in a man's budget

Be Authentic
Tukubaliane tu kuwa hizi ni zama za pesa, bila pesa hapendwi mtu.

Tusubirie upepo upite lsbda zitakuja nyakati mpya...msinipige mawe bado nahitaji kuishi
 
Iliwahi Nikuta somewhere!!nilikosa Cha kujibu!akazichukua Kwa shingo upande"Ina maana unanionaje mimi,kwani kama Nina shida nazo si ningekuomba"!!?nikajitetea tu!
Sasa mkuu umeshasema alizichukua kishingo upandee,.
Hapo bado hauelewei nini??
 
Hivi kama mwanaume anatimiza wajibu wake mwanamke ataomba vipi na aombe nini sasa! Tatizo wengi hamna mapenzi ya baba kwahiyo mama zenu walivyokuwa wakihangaika mnataka na wake zenu wahangaike hivyo hivyo, kama hujiwezi ai ukae mwenyewe?
 
Niliolewa bikira na sijawahi kuchepuka maisha yangu yote.
Una experience na mwanaume mmoja alafu unashauri kuhusu kuonga au kutokuonga? Mchumba eti tulegezee break watoto wa wanawake wenzio……..BTW hata me nimeoa, ila ndio vile MBA, talk to me nicely😋
 
Back
Top Bottom