Real women don’t ask men for money. Your behaviors put you in a man's budget

Hivi kama mwanaume anatimiza wajibu wake mwanamke ataomba vipi na aombe nini sasa! Tatizo wengi hamna mapenzi ya baba kwahiyo mama zenu walivyokuwa wakihangaika mnataka na wake zenu wahangaike hivyo hivyo, kama hujiwezi ai ukae mwenyewe?
Kweli wacha nipige nyeto tuu, kukaa na hizi kenge ni majanga. Anyways wacha nie joy lunch yangu hapa serena
 
Kama hutaki kuhonga au kutunza Kaa Kwa wazazi wako wakupe chumba kimoja hapo sio kutusumbua sumbua, lea wapwa zako ambao dada zako wanakuletea hapo😀😀
 
Ah nipo kwenye chumba changu hapa niperuz jf nimichoka napasha mlenda wangu nanyetuka
 
Shida ni umalaya tu unatusumbua sisi,lakini ungekuwa unaishi bila kuendeshwa na nyege hivyo vitu usingekutana navyo.

Mi sioni kosa wanawake kuomba hela ,kama hutaki kuombwa hela punguza tamaa aiseee.
 
Ah kwa hiyo wee ndio umeamua kusema ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom