pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo Bloomberg ni shirika la Kikenya? Minneapolis Tribune ni gazeti la kikenya? Ukiambiwa wewe ni mvivu unatokwa na povu kweli kweli, wakati hata kusoma tu taarifa na kujifanyia karisechi kidogo kwako ni kibarua kigumu. Dah!Takwimu za uongo, half truths na exaggeration zimeletwa na wakenya. An article about kenyans, published by a Kenyan newspaper brought to Jf by a brainwashed and starving kibera Kenyan has nothing but lies in it.
Yeah we feel a bit honored to be ahead of your huge country that's endowed with all sort of resources, it's a reminder of what hardworking can be about.
Halafu mnasema Kenya haipokei misaada. $600 kama sio misaada ya kuwapa ndugu zenu nafasi ya kufanya kazi ni nini?Ni uchumi gani huo wa watu wengine ambao tunaujenga ambao hautujengi pia? umesoma hapo inaposema wakenya hao walituma nyumbani zaidi ya $600m ndani ya miezi mitatu!!! mwaka huu naona wakituma zaidi ya $2B na hii haihesabiwi kama FDI...
am very sure ukipiga hesabu ya ratio ya wakenya walio nje vs pesa wanazotuma nyumbani utapata wakenya walio nje ndo most productive kwa nchi zote za Africa.
Did you even read the thread? it's from theeastafrican.co.ke ( Kenyan newspaper) quoting Bloomberg ( halving the truth) and finally Bloomberg quoted the Central Bank of Kenya. This whole thread has kenyans all over it, I want to know who wrote the Bloomberg article, my guess he/she is Kenyan. Fake news and liers everywhere.Kwahivyo Bloomberg ni shirika la Kikenya? Minneapolis Tribute ni gazeti la kikenya? Ukiambiwa wewe ni mvivu unatokwa na povu kweli kweli, wakati hata kusoma tu taarifa na kujifanyia karisechi kidogo kwako ni kibarua kigumu. Dah!
TrueWabongo wanatosheka na nchi yao, huwezi wakuta idadi kubwa huko nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said!Stupid , what have you done for your country?
You claim to be the hardest workers in the most developed country but you havent done anything for your shit nation!..stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa! Hujakosea, ni fake news! [emoji1][emoji1][emoji1]Did you even read the thread? it's from theeastafrican.co.ke ( Kenyan newspaper) quoting Bloomberg ( halving the truth) and finally Bloomberg quoted the Central Bank of Kenya. This whole thread has kenyans all over it, I want to know who wrote the Bloomberg article, my guess he/she is Kenyan. Fake news and liers everywhere.
Yeah a reference point of all that we would never want to be. Yaani endowed with everything but infamous for exporting beggars.
Ahaaa haaa haaa
Ni Kenya tu duniani inayojisifu na kuringia kuwa hard workers nchini kwa WATU WAKATI kwao ni choka mbaya kwa RUSHWA, ukabila, kutowajibika kwa wala rushwa.
Tungekua wazembe kama nyie nchi haingekalika maana ni kame na ndogo.
Vyovyote vile, ile hard working spirit wanayoionesha Marekani ingefanyika Kenya hali ingekuwa tofauti SANA.
Lkn sasa endeleeni kuwa manamba ndani na nje ya NCHI YENU.
Evidence ni maneno makavu? Hebu leta evidence ama ukae kimya kwenye baraza la wazee. Hapa ni evidence tu!!!Nairobi has just over 6 million, Kibera over 1 million, you don't even know demographics na unadhihaki watu.
Na takwimu za World bank je? Utasema pia World bank ni brain washed? I can debate with you even when i am half asleep and i will still deconstruct your arguments coz they make no sense at all.Takwimu za uongo, half truths na exaggeration zimeletwa na wakenya. An article about kenyans, published by a Kenyan newspaper brought to Jf by a brainwashed and starving kibera Kenyan has nothing but lies in it.
Wewe umejoin juzi. Kuja polepoleStupid , what have you done for your country?
You claim to be the hardest workers in the most developed country but you havent done anything for your shit nation!..stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sisi tumesema, ni Research iliyofanywa Marekani inasema hivyo. Ni wazungu wenyewe wanasema eti Wakenya hawacheki na kazi kwa hivyo badala ya kufuria Wakenya kama mandazi, nenda kamwulize Donald Trump mbona nchi yake katoa ripoti ya kusifia utendakazi wa Wakenya?Stupid , what have you done for your country?
You claim to be the hardest workers in the most developed country but you havent done anything for your shit nation!..stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Talk of building other people's country where you are working from. That's very normal, you expected to benefit 100% at the expense of the society that has offered you employment?. Of course you have to pay tax, accommodation, your very own upkeep etc. Working is like business, you have to spend money to get more in return. Do you know that Kenyans abroad have ventured in real estate through their diaspora saccos here in Nairobi?. Others are homeowners. About the so called brain drain. You have to understand that the kind of work force we are having cannot be satisfied by the jobable opportunities we have. So whoever that reduces scrambling of those few opportunities by venturing elsewhere eases the situation and thus a plus.India and Philippines wana export so much skill worker from Dr's, nurses, IT, aviation to marine, petroleum, teaching even businesses people. Equally unskilled pia wapo ambao ni wengi Kenyans included, wote hao wanaotuma pesa nyumbani. So skilled or no skilled, once your in foreign land wewe unajenga uchumi wa watu wengine, tena you will spend 80% of your income on local economy unless uache kula na ulale barabarani kitu ambacho hakiwezekani.