pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo Bloomberg ni shirika la Kikenya? Minneapolis Tribune ni gazeti la kikenya? Ukiambiwa wewe ni mvivu unatokwa na povu kweli kweli, wakati hata kusoma tu taarifa na kujifanyia karisechi kidogo kwako ni kibarua kigumu. Dah!Takwimu za uongo, half truths na exaggeration zimeletwa na wakenya. An article about kenyans, published by a Kenyan newspaper brought to Jf by a brainwashed and starving kibera Kenyan has nothing but lies in it.