Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Na nyinyi msiowatumikia hawa wakoloni mbona hamna hela mara tano kuliko mlizo nazo kwa sasa?Wakoloni hawakuja kufanya kazi, walikuja kuwafanyisha kazi na hyo nguvu mnazotumia huko ughaibuni mngeitumia nchi kwenu hyo hela ingekuwa mara tano yake zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app