Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda kinyume na nature. Moja ya hotuba yake, Putin alisema ushoga ni dhambi Kama dhambi nyingine tukwa hiyo hiyo dhambi haikubaliki.Kwa nini West wanapiga Vita ugaidi (ambao Mara nyingi wanautengeneza wenyewe) ila wanauopromote ushoga kwa nguvu kubwa,na mtu/nchi inayokwenda kinyume nao wanairarua vibaya mno?
2. Tuliona enzi ya ugonjwa wa Corona jinsi west media walivyou-overrate unaua mamilioni ya watu,wakatuletea na musk, lock down Kisha chanjo tena kwa kutulazimisha. Ukiangalia Sera za Putin juu ya ule ugonjwa zilikuwa Kama za hayati Magufuli tu. Putin alishawajua west ni watu waongo waongo Sana. Ilipoanza Vita Kati ya Russia na Ukraine na huu ugonjwa umetoweka kabisa.
3. Putin hajawahi kutuibia Waafrica.
4. Putin hana muda wa kuzichonganisha nchi mbalimbali zipiga ne na kumwaga damu zisizo na hatia ili akopeshe silaha na kuiba rasilimali.
5. Putin hana muda wa kututengezea GMO na oestrogetic food/products Kama pizza na burgers ili wanaume tuwe emasculated & feminine characters alafu wazidi kututawala vizuri. Sasa hivi hao tunaowahusudu wametuletea matunda hayana mbegu,mfano parachichi alafu tunashangilia ilhali wenyewe hawali na wanapiga Vita GMO.
6. Putin hatoi misaada yenye masharti ya udhalilishaji na uvunjaji utu kwa nchi masikini.
7. Putin hasapoti ushenzi wa plastic surgery.
8. Wale anti Russia;Kama upo bize 24/7 ukiangalia Hollywood dramas na propaganda za magharibi huwezi kwenda sambamba na Putin. Lazima utamchukia tu.
9. Kama wewe Ni masturbate addict na unakubali zile propaganda za nyeto haina tatizo,huwezi kumpenda Putin.Masturbation corrodes a man's soul. Sigma male Kama Putin huwa hawafagilii huu ushenzi.
10. Moja ya sifa ya uanaume Ni kulinda watoto wako dhidi ya maadui(risking your life to protect your family )..
Yes, nasapoti anachofanya Putin huko Ukraine. Hata Ndege Tai hawezi kuruhusu adhi yake nyoka ajenge ngome karibu na kibanda chake alichowahifadhi familia yake,atapambana kwa hali na mali kulinda hatma ya kizazi chake.