Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kumbe elitwege na etwege ni ndugu.!Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta.
Hongereni sana bavicha kwa kuiunga mkono ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe elitwege na etwege ni ndugu.!Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta.
Hongereni sana bavicha kwa kuiunga mkono ccm
Hapana katiba siyo msahafu!Kama anafanya vizuri hivi tutampa hadi 2030 pale katiba inatakomtaka akabidhi kwa mwingine
Acha kujitoa ufahamu wewe. Mama yuko vizuri ila tutaheshimu katibaHapana katiba siyo msahafu!
Kama atafanya vizuri lazima atawale hadi achoke maana tunataka nini tena watz?
Hili hata wapinzani wameunga mkono
Katiba inabadirishwa tu siyo msahafu ule!Acha kujitoa ufahamu wewe. Mama yuko vizuri ila tutaheshimu katiba
Ni vizuri tutengeneze succession plan! Atakuja mzuri mwingine na atafanya vizuri piaKatiba inabadirishwa tu siyo msahafu ule!
Kama anafanya tunachotaka unataka nini tena?
Hana kiburi mpaka dakika hii na hana zile akili za kutaka kumkomoa mtu.Nadiriki kusema, kwa uzoefu wangu kuanzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Samia ndo anaweza kuwa Raisi visionary zaidi tena positively Kwa kuangalia dunia inavyoenda kuliko wengine wote.
Sahihi kabisa. Naungana na wewe kwenye hiloHana kiburi mpaka dakika hii na hana zile akili za kutaka kumkomoa mtu.
Akishirikiana na Mulamula wanaweza wakajenga ushawishi mkubwa utakaziinua sekta nyingi za Tanzania.
Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni
Kilichowavutia hayo makampuni ya news ni kwa kuwa yeye ni Mwanamke Rais ...Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.
Sasa yeye ameifanya iwe zaidi ya hapo. Hongera sana kwake Mama SamiaKilichowavutia hayo makampuni ya news ni kwa kuwa yeye ni Mwanamke Rais ...
Naona unateseka sana ukisikia Mama Samia amebuni.Sahihisha: Rais hajabuni program yoyote bali ameingizwa kwenye biashara za int'l media zilizoona fursa ya biashara Tanzania katika context ya win-win benefits.
...and therefore their business stock? Sijui kwa nini Watanzania hushindwa kuona rangi zote saba za mwanga? Aliyeona fursa, kupanga na kuitumia ndiye atakayenufaika na hiyo biashara?Kilichowavutia hayo makampuni ya news ni kwa kuwa yeye ni Mwanamke Rais ...
Umeishia darasa la ngapi?Duh,
Tumeshageuzwa bidhaa bila kupenda.
Usijaribu kumuelewesha mtu aliyezoea kuwa brainwashed na kuaminishwa uongo kuwa ukweli....and therefore their business stock? Sijui kwa nini Watanzania hushindwa kuona rangi zote saba za mwanga? Aliyeona fursa, kupanga na kuitumia ndiye atakayenufaika na hiyo biashara?
Wacha hasira, hiyo ni alert tu umepewa, punguza kusifia kama mlevi hata kabla matunda ya unachokisifia hayajaonekana, mambo ya uchumi sio issue ya usiku mmoja.Kwani shida iko wapi?? Acha wenye akili na maono watuongoze vizuri sasa!
Mnajifanya wazalendo wakati akili hamna, hadi vinchi vidogo Kama Rwanda vinakuwa vinatuzidi kiubunifu na kutafuta maendeleo
Punguza mihemko yako, utakuja kujificha siku sio nyingi.Sasa yeye ameifanya iwe zaidi ya hapo. Hongera sana kwake Mama Samia