Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

Wacha hasira, hiyo ni alert tu umepewa, punguza kusifia kama mlevi hata kabla matunda ya unachokisifia hayajaonekana, mambo ya uchumi sio issue ya usiku mmoja.
Nilivyosema kuanzia 2025 tutaanza kuona maendeleo makubwa kutokana na programs uliekewaje?
2025 ni usiku mmoja?
 
Punguza mihemko yako, utakuja kujificha siku sio nyingi.
Nijifiche Kwa sababu gani??

Utajificha wewe kwa chuki zako dhidi ya Samia zinazokufanya uendelee kupata msongo wa mawazo
 
Naona mbwembwe za siku mia....

Anajibrand kama bidhaa,kwa nani na lengo lipi? Watanzania awamfahamu au?
 


Uzuri wa Mama ni kwamba amechukuwa mazuri yote ya Hayati na kuongezea uzoefu wake wa kufanya kazi kimataifa. Lakini vilevile anajua sana mawasiliano kuliko Hayati hii itasaidia nchi sana. Hayati katusaidia sana lakini Mama atafanya marekebisho machache tu na Tanzania itapaa sana
 
Magufuli angeacha mambo yake ya ajabu na akafanya mazuri yake na kuendeleza mazuri ya wenzake bila kusahau kuruhusu ubunifu angekuwa vizuri sana.

Aliyotakiwa kufanya Magufuli ndo anayofanya Samia saivi. Ukali kiasi, umakini mkubwa, akili zaidi badala ya nguvu na ubunifu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…