Pre GE2025 Recap: Mrithi wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeipenda hii, ya uchaguzi wa 2030, angalia tarehe ya bandiko hili
P
 
Mkatoliki Pascal Mayalla
 
Libarikiwe tumbo lililokuzaa
 
Kama Jk alivoona hali siyo nzuri akampigia pande JPM aje kuweka mambo sawa, I have a dream Samia atatuachia Humphrey Polepole, huyu mwamba nae ana itikadi kali zinazofaa kuongoza Tz.
 
Hivi huoni aibu kuandika hicho kigezo cha kwanza?
 

Hii nchi imeharibiwa na nyie Tiss uchwara. Hamna jipya zaidi ya ushauri wa kikuda. Hii nchi bila machafuko ama mapinduzi kijeshi, tutabaki kuletewa mapendekezo ya kiboya na nyie suti nyeusi.
 
Andiko Kali sana hili,
 
2025 Rais ni mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…