- Thread starter
- #41
YesAwe pia msomi asietia shaka yoyote kuhusu elimu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesAwe pia msomi asietia shaka yoyote kuhusu elimu yake
Rais ajaye Sifa ni hiziMakamba kupelekwa Mambo ya nje, rumors za Samia kutogombea zilizotokea mwanzo wa utawala wake, maslahi ya watoto wa mjini huko mbele yako mikononi mwa Makamba.
Chawa ni wewe na Lucas MwashambwaMuonaji!
Chawa uliekuja kivingine so ndio!
All the best!
Nimeipenda hii, ya uchaguzi wa 2030, angalia tarehe ya bandiko hiliLeo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Submited with thanks.
Mkatoliki Pascal MayallaLeo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.
Libarikiwe tumbo lililokuzaaNimeipenda hii, ya uchaguzi wa 2030, angalia tarehe ya bandiko hili
PUchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Wanabodi, Nimenote baada ya matokeo ya Kinondoni na Siha, kuna watu wanajifanya na kujidai wamekasirika sana!, na wako tayari kwa lolote na kufanya lolote kuiondoa CCM madarakani!. Ushauri wangu kwa watu wa type hii, ni kuwaasa kwa sasa wasijisumbue bure!, CCM is there to stay for a long long...www.jamiiforums.com
Akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki.Mkatoliki Pascal Mayalla
Kama Jk alivoona hali siyo nzuri akampigia pande JPM aje kuweka mambo sawa, I have a dream Samia atatuachia Humphrey Polepole, huyu mwamba nae ana itikadi kali zinazofaa kuongoza Tz.Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.
Case closed,🤣🤣Akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki.
P
DaaahKKKT bado mnawabania?🐼
Never, Samia ni mpaka 2030Nikipige hesabu namuona Samia akiachia urais mwaka 2025 na January Makamba kuwa Rais hadi 2035.
Hivi huoni aibu kuandika hicho kigezo cha kwanza?Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.
Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.

Andiko Kali sana hili,Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.
Lina ukali gani?Andiko Kali sana hili,
Akili imetumikaLina ukali gani?
2025 Rais ni mwingineLeo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.
JM sio Mkristo.Nikipige hesabu namuona Samia akiachia urais mwaka 2025 na January Makamba kuwa Rais hadi 2035.
Ndiyo maana anaingia 2025JM sio Mkristo.
Unadhani Rais anaefuata atakuwa wa imani nyingine tofauti na ukristo?