Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia ( awe ni msomi )
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks.