Record: Yanga yawa timu ya kwanza kufikisha kombe mlima Kilimanjaro

Hata simba wamefikishwa kileleni, Bao tano si mchezo,

Hapo miaka ya 90 alipigwa bao nne kipindi cha kwanza akakimbia, angerudi angekula hata 9
Walipoteana kabisa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya ni matusi kabisa.
 
Kutesa kwa zamu. Watoto wa mwamedi funzo hili ni kujipanga vilivyo ,vinginevyo msimu ujao dhahama itakuwa kubwa zaidi
 
Mnatuiga tuu simba ni wabunifu kuliko nyie utopolo

Why usifikilie kupeleka mlima
Everest
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?

Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
 
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?

Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Nafikiri simba hawakupeleka tu bali walizindua jezi mlimani.
 
Hakuna TIJA YOYOTE NI KUIGA TU KWA KUWA SIMBA ALIENDA MLIMA KILIMANJARO NA YANGA KAIGA ACHENI USHAMBA
 
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?

Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Mjomba hapa kinachoongelewa ni timu kama timu kupeleka kitu huko mlimani, hao waliopeleka Jezi za yanga walikuwa ni mashabiki tu na hata wa simba wamewahi kufanya hivyo, kwenye hili mkubali tu mmeiga ndio maana mnasingizia eti mmepeleka kitu cha maana 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…