RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

Muuza madafu wa Ikulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
1,277
Reaction score
2,888
Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV)

FB_IMG_1708954598216.jpg

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
yanga wako tangu 2017 na tena hio channel walinunua kwa mtu. SIMBA imeanza from the grass roots level.
 
Hata records ya wachezaji kubanduana huko kambini mbona mnaishikilia nyie. Hongereni sana
 
Yaani mna ziada ya miaka miwili toka hiyo YouTube channel ianzishwe mwaka 2017

Wakati channel ya simba ilianza mwaka 2019 tu ila tayari inakatibia watizamaji milioni 70
 
Dah,kanuni ya shilingi ilitukost hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom